Posts

Showing posts from February, 2010

Kinyozi Mzee kuliko wote...

Image
Hii inaweza kuwa mara ya 300 kwa Mike Jaffe kwenda kunyoa nywele na ndevu kwa Bw. Anthony Mancinelli na pia kupiga blahblah kidogo. Kwa mujibu wa kitabu cha "Guiness Book of World Records", Anthony ndiye kinyozi mwenye umri mkubwa kuliko vinyozi wote duniani. Ukienda kwa Anthony huishii kunyoa nywele peke yake bali utajikuta unaongelea hali ya hewa ya siku hiyo, nani kaja na nani kaondoka mjini, nani kafa nani kazaliwa, na mambo mengine mengi kama hayo. Wateja wa Anthony wanasema mzee huyu ambaye atatizmiza miaka 99 Machi 2 mwaka huu ni sawa na maktaba inayotembea katika jiji la New York huko Marekani. Jamaa alianza kunyoa watu nywele na ndevu akiwa na miaka 12, hii ina maana amepiga kazi ya kinyozi kwa miaka 87. Hii ndio sifa inayomfanya Anthony kuwa kinyozi mzee kuliko wote duniani. Anthony alimwambia Jaffe, "Nilipoanza kazi hii nilikuwa nalipwa senti 5 kwa kichwa". Jaffe amekuwa akinyoa nywele kwa Anthony kwa miaka 25 sasa. "Baadae bei ikapanda kido

jihadhari na omba omba..

Natumaini kwa uwezo wa Mungu mko wazima, Leo kwenye misa ya asubuhi kanisani Azania Front mchungaji aliyekuwa anahubiri katufunulia siri nyingi sana za sheteni nakutupa shuhuda mbalimbali jinsi shetani anavyofanya kazi. Moja ya ushuhuda wake ni kisa kilichotokea hivi karibuni hapa Dar es salaam. Napenda nikushirikishe ili uchukue hatua. Pale salender Bridge ambapo anasimama trafiki akivuta magari, kuna mdada alikuwa ndani ya gari lake kwenye foleni akisubiri zamu yake ya kuruhusiwa na trafiki ifike apite. ndipo aliposogea kaka mmoja ombaomba, akasogea kwenye gari la yule dada na kuomba msaada. Dada huyo kwa kumhurumia akamsaidia. Alipompa pesa tu mkono wa yule dada ukaota manyoya ya paka, akachanganyikiwa alipokuwa anaendelea kushangaa trafiki akawa anaruhusu magari ya upande wake yule dada akawa hawezi kuendesha gari, ndipo trafiki akamsogelea na kuuliza kulikoni?! Yule dada akatoa mkono wake na kumuonyesha trafiki na kumsimulia kili

TRL Drama Continues...

Image

Mmh...!

Image
Unaweza kuhisi wanachoongea? na je, ilikuwa wapi?

Ki-english... kazi kwenu!

There is a two-letter word in English that perhaps   has more meanings than any other two-letter word,    and that word is  'UP.'   It is listed in the dictionary as being used as an [adv], [prep], [adj], [n] or [v]. It's easy to understand  UP , meaning toward the sky or at the top of the list, but when we awaken in the morning,   why do we wake  UP ?  At a meeting, why does a topic come  UP  ? Why do we speak   UP , and why are the officers  UP   for election   and why is it  UP   to the secretary to write   UP   a report? We call  UP  our friends and we use it to brighten  UP   a room,   polish  UP   the silver, we warm  UP   the leftovers   and clean  UP  the kitchen. We lock  UP   the house and some guys fix   UP   the old car.    At other times the little word has a real special meaning. People stir  UP  trouble, line   UP  for tickets, work  UP  an appetite, and think  UP    excuses.  To be dressed is one thing but to be dressed  UP  is special. And this  u

Ushauri wa bure kwa afya zetu...

Image
For those who like to drink cold water, this article is applicable to you. It is nice to have a cup of cold drink after a meal. However, the cold water will solidify the oily stuff that you have just consumed. It will slow down the digestion. Once this "sludge" reacts with the acid, it will break down and be absorbed by the intestine faster than the solid food. It will line the intestine. Very soon, this will turn into fats and lead to cancer. It is best to drink hot soup or warm water after a meal. A serious note about heart attacks - You should know that not every heart attack symptom is going to be the left arm hurting. Be aware of intense pain in the jaw line. You may never have the first chest pain during the course of a heart attack. Nausea and intense sweating are also common symptoms. 60% of people who have a heart attack while they are asleep do not wake up. Pain in the jaw can wake you from a sound sleep. Let's be careful and be aware. The more we know the bet

Quote of the day...

"Nothing in life is permanent, not even ones troubles" By Charlie Chaplin

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...

Image
Bwana Harusi Moses Mudonko na Mkewe wakipongezwa na Joe Mnzavas siku ya harusi yao. Harusi hii ilifungwa kanisa katoliki na baadae kwenye tafrija ya kukata na greda pale Belinda Beach Hotel. Yasini Kilima (Mwenye shati la batiki), akifuatiwa na Nehemia Mwenisongole na wageni waalikwa wengine kumpongeza bwana harusi Moses Mudonko na mkewe. Maharusi pamoja na wapambe wao wakipongezwa na wadau mbali mbali pamoja na wake zao, kasoro Nassoro Siriwa ( wa kwanza kushoto, mwenye shati jeupe na tai) na almaarufu braza Carlos (wa kwanza kulia mwenye suti ya nguvu ya rangi ta brauni nyepesi) wadau hawa sijui kwanini hawakutokea na wapendwa wao? BLOGU HII KWA NIABA YA WADAU WAKE NA MIMI MWENYEWE NAWAPA MAHARUSI PONGEZI ZA NGUVU NA KUWAOMBEA KWA MUNGU, AWABARIKI NA WABARIKIWE SANA. HONGERENI SANA . KICHWANGUMU.

Wamependezaaa....

Image

Nigeria Airport... ULINZI!

Image

Usalama viwanja vya ndege...

Image

Something to think about

Imagine it's you (just turned 64), recently picked a new primary care doctor .. After two visits and  exhaustive Lab tests, he said I was doing 'fairly well' for my age.  A little concerned about that comment, I  couldn't resist asking him, 'Do you think I'll live to be  80?' He asked, 'Do  you smoke tobacco, or drink beer or  wine?' 'Oh  no,' I replied.. 'I'm not doing drugs,  either!' Then he  asked, 'Do you eat rib-eye steaks and barbecued ribs ? 'I said, 'Not much... my former  doctor said that all red meat is very unhealthy!' 'Do you spend a lot of time in  the sun, like playing golf, sailing, hiking, or  bicycling?' 'No, I  don't,' I said.. He asked, 'Do you gamble, drive fast  cars , or have a lot of  sex?' 'No,' I said. He looked at me and said.... 'Then, why  do you even give  a shit? How would you feel?

Mambo ya long week-end...

A man left from work one Friday afternoon . But, being pay-day, instead of going home, he stayed out the entire weekend partying with the boys and spending his entire pay check. When he finally appeared at home, Sunday night , he was confronted by a very angry wife and was barraged for nearly two hours with a tirade befitting his actions. Finally his wife stopped the nagging and simply said to him. "How would you like it if you didn't see me for two or three days?" To which he replied. "That would be fine with me." Monday went by and he didn't see his wife. Tuesday and Wednesday came and went with the same results. But on Thursday , the swelling went down just enough where he could see her a little out of the corner of his left eye .

Amini usiamini...

Image
Jesus in Haiti...amidst the destruction...the cross remains intact. Not even a chip... interesting but TRUE . The Cross is intact. A lesson indeed!

Monday Joke...

A drunk gets on a bus. The driver, impatient while the drunk fumbles in his pocket for change, drives off. As the bus starts rolling, the drunk reacts to the sudden movement by stumbling all the way to the back of the bus. The bus stops at the next stop. He reacts by stumbling to the front of the bus. Still the drunk man is fumbling in his pocket for change. The bus jerks forward once again, and the drunk stumbles uncontrollably to the back of the bus once again. Next stop, the same thing happens. In fact, every time the bus stops, the man would stagger to the front. Every time the bus starts, he staggers uncontrollably to the back. A few stops later, the drunk starts to exit the bus from the front. "Hey," shouts the bus driver.... "You didn't pay your fare yet!" The drunk, still reeling, shouts back, "Why should I?!. . . I walked all the way!"