Posts

Showing posts from July, 2012

Mkamataji au naye teja?

Image

What soda can do to your body...

Image

Ajali ya piki piki kwa piki piki jana asubihi maeneo ya Mbezi Tangi Bovu

Image

Weka maneno mwenyewe...

Image
Hii picha imenisikitisha, imenihuzunisha, imenisononesha na kuninyima raha kabisa. hebu tutafakari kidogo, mtoto huyu amekosa nini mpaka alale chini mahala pachafu kiasi hiki. Ni jamii gani inaruhusu hali hii? Wazazi wake wako wapi? Serikali iko wapi? Jamii iko wapi? Mashirika ya kijamii (NGO's) yako wapi? Tunajenga taifa la aina gani? Tunawaachia urithi upi vizazi vijavyo? Ni nini hii? Sielewi... Hivi, atakuwa amepata chakula bora kweli? Kesho yake ikoje? Matumaini anayapata vipi? Tafakari na uchukue hatua!

Wazo la leo...

...kupenda usipopendwa ni sawa sawa na KUISUBIRIA MELI UWANJA WA NDEGE !  na Robert Kishimba.

Today's short story...

Relationship & Trust   Little girl and her father were crossing a bridge.   The father was kind of scared so he asked his little daughter, "Sweetheart, please hold my hand so that you don't fall into the river."   The little girl said,   "No, Dad. You hold my hand."   "What's the difference? Asked the puzzled father.   "There's a big difference," replied the little girl.   "If I hold your hand and something happens to me, chances are that I may let your hand go.   But if you hold my hand, I know for sure that no matter what happens, you will never let my hand go."   Moral of the story :-   In any relationship, the essence of trust is not in its bind, but in its bond. So hold the hand of the person whom you love rather than expecting them to hold yours...

Wafugaji Vs. Wavuvi...

Image

... London Olympic Games 2012 - Football time table

Bofya hapo chini kupata ratiba ya kandanda kweli Olympic huko London 2012... http://www.london2012.com/football/event/men/index.html

Ramadhan Karim...

Leo ndugu zetu wa dini ya Kiislamu ulimwenguni kote wanaanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hii ni moja ya nguzo kuu za dini ya kiislamu. Napenda kuchukua nafasi hii, kuwatakia kila la kheri katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.  Ramadhan Karim...   KICHWANGUMU.

Picha zenye mvuto kwa leo...

Image
  Bila kujalisha majina yao, walikuwa wapi na wanafanya nini, picha ya juu na chini kwa aina yake ina mvuto mzuri sana... Hongera kwa kamera husika ...

Facts about life...

1. Forgive your enemy but remember the bastard's name... 2. Help someone when they are in trouble and they will remember you when they're in trouble again. 3. Many people are alive only because it’s illegal to shoot them (human rights thing). 4. Alcohol does not solve any problems, but again, neither does milk. 5. Money cannot buy happiness but its more comfortable to cry in a Mercedes than on a bicycle.

No comment...

Image

Happy Birthday Madiba...

Image

Tujikumbushe...

Image
Kutoka maktaba yetu... Mwalimu Julius Kambarage Nyerere a.k.a Baba wa Taifa la Tanzania akiendesha ya baiskeli katika viwanja vya Ikulu enzi za utawala wake.

Plagiarism in action...

Image
Tabia mbaya sana kuibia... ukizoea kuibia darasani hata maishani utaendelea kuibia kazi za wenzio bila hata kutoa shukrani! Unakuta mwandishi makini anayeheshimika anaiba kazi ya mtu na kuitangaza kama vile ni ya kwake. Tena bila hata kuelezea wasomaji wake kama hii nimeitoa mahala fulani... kuibia tuu! Ni tabia mbaya sana. KICHWANGUMU!

Today's quote...

Image

Today's joke...

Papa Benedict wa 16 alikwenda shopingi na kumchukua dereva wake ila alimwambia: "Naendesha mwenyewe leo." Hivyo, dereva alikaa upande wake wa kushoto na papa akaendesha mwenyewe gari, dereva akiwa ni abiria. Kufika mjini trafiki aliwasimamisha, kuangalia ndani ya gari akatimua mbio kumfuata mkuu wake. Mkuu wake naye alipofika na kuangalia ndani naye akala kona. Yule trafiki ikabidi amuulize mkuu wake: mbona unakimbia? Mkuu akajibu:Kama papa  ameamua kumuendesha yule mtu, basi ni Yesu au ni Mungu mwenyewe.

Usajili wa magari kwa kutumia majina waanza TRA...

Image
 Kuanzia mwaka mpya wa fedha (2012-2013) Mamlaka ya Mapato Tanzania imeanza kusajili magari kwa kutumia majina ikiwa ni nyongeza ya kutumia namba kama ilivyokuwa imezoeleka na wengi. Pichani juu na chini ni gari la kwanza kupewa usajili huo wa kutumia jina.   Usajili huu wa kutumia jina unaweza kufanyika kwenye ofisi yoyote ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inayohusika na usajili wa magari katika mikoa yote ya Tanzania Bara.

Friday 13th July 2012

Once again its Friday the 13th...

@ Rudy's Farm on Sunday 15th July 2012...

Image
... need me say more?

Tujikumbushe...

Image
Mama Maria Nyerere akiongoza wanamgambo wenzake wakati wa kufunga mafunzo ya mgambo katika viwanja vya Ikulu DSM mwaka 1973.

Careful on what you wish for...

Wishing well...

Namna ya kumlinda mwanao - Sicilian Style!

Sicily - Italy...

Furahiii dei... tGif!

Image

Send Off Party ya Elizabeth Mwaipopo 5th July 2012

Image
  Keki, juu na chini tayari ikisubiri shughuli...   Shampeni za kumwaga zikisubiri kushughulikiwa...   Baadhi ya wawezeshaji wa shughuli hiyo "wana-kamati" wakiwa na baba wa Elizabeth (Mr. Ande Mwaipopo kushoto) katikati ni Jovin Shumbusho na kulia ni Mwenyekiti wa kamati Mr. Makoye  Kwa wasiotumia vinywaji baridi walipa chai au kahawa... "Life is all about choices"   Meza kuu, juu na chini zikimsubiri bibi harusi mtarajiwa...   Bibi harusi mtarajiwa Elizabeth Mwaipopo akikata keki juu na chini...   Wageni waalikwa Edgar (kushoto) na Deo Shumbusho...   Baba wa bwana harusi mtarajiwa Mzee Paul Sozigwa (mwenye shati la draft) akiwa shughulini...   Baba wa bibi harusi mtarajiwa Mr. Ande Mwaipopo na mkewe wakifuatilia shughuli...   Mr. George Mnyitafu (kulia) na Mr. Richard Shumbusho (anayefuatia) wakifurahia jambo...   Hata Deo Shilima alifunga safari kutoka Mwanza mpaka Dar kuhudhuria shughuli hii... chez

Fundi Kibwana na maiwife wake wakiwa vakesheni...

Image
What a pose... kama muvi! Hiyo ni swimming pool na bar! imependeza sana... mbele huko wanajua sana ku-enjoy... niibe usemi wa Thomas Kibwana Hapo unaweza kuona baada ya "swiming pool" kuna "beach" kwa nyuma! People are having fun... enjoy people! The beach... Shemeji yetu katika pozi kwa juu na chini mumewe Fundi.

Quote of the day...

…”   Wamissionari walipo kuja Afrika ,walikuja na bibilia mkononi sisi tulikua na ardhi,  Wakatuambia tufunge macho tusali….tulipofungua macho, wao wakawa  na ardhi,  Sisi  na bibilia mkononi!,” By Bishop Desmond Tutu

Wazo la leo...

Image

Frank Brown Birthday Party at Rudy's Farm on Friday 29th June 2012

Image
  Frank akimlisha keki mkewe siku ya tukio. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA   kwa data zaidi kuhusu Rudy's Farm, bofya hapa