Posts

Showing posts from November, 2012

Hot Bath...

Image

OMG ! I CAN'T BELIEVE I DID THIS....

Image

The dANCE!,.,-..

Prezidaa kwenye shughuli zake mkoani Arusha na Manyara hivi karibuni

Image
  Juu na chini Mkuu wetu Mh. Dr. Lt. Col. (rtd) Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Nimependa sana alivyopendeza. hapa ni katika ufunguzi wa barabara ya   Arusha Minjingu maene ya kijiji cha Mguu-wa-Zuberi wilayani Monduli, Mkoani Arusha.  Na hilo pozi pia si mchezo... Mkuu kapendeza...   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Mhe Rose Kamili baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji wa Mwakonko Singida Mjini. Ni katika sehemu za majukumu yake kwa raia anaotuongoza. PICHA KWA HISANI YA IKULU Rais Jakaya Mrisho Kikwete (hapo umeona katupia shuka ya kimasai, Mkuu kwa swaga!) akifurahia jambo na Mh. Fredrick T. Sumaye kwenye moja ya mikutano ya hadhara mkoani Manyara hivi karibuni  PICHA KWA HISANI YA IKULU