Posts

Showing posts from February, 2013

Matukio katika luninga...

Watoto wetu... Ushamba noma sana... Mmh!

Namanga Border between Tanzania and Kenya

Image
  Kuna mtori (juu) na chapati (chini)   Supu ya kuku ni kwa sana... Ujenzi unaendelea wa kituo cha kisasa cha forodha, bango lake ndio hilo... sasa mjenzi alivyoandikwa! DUH... Lugha gongana...

Intercontinental Hotel Nairobi

Image
A cup of lemon tea...

Nyama Choma @ Njugunaz - West lands - Nairobi - KE

Image

Avast! Free Anti Virus

Click the link below http://www.avast.com/get/niUmOFYh

Zebra cross ya nini hapo?

Image

Hali ngumu...

Jamaa alipita sehemu isiyoruhusiwa katika kambi ya jeshi na akapewa adhabu ya kuhamisha tofali 1000! Jamaa akajitahidi akabeba tofal 900 na akawa hoi!Na ghafla akakumbuka kuwa mkuu wa kambi ni rafik yake wamesoma wote,akampigia simu. Jamaa,"mkuu,vijana wako wamenipa adhabu ya kuhamisha matofali 1000!" Mkuu,"hao wajinga kweli hawajui tunavyofahamiana!Wasikusumbue, mi ndo mkuu wao.Zirudishe palepale zilipokuwa mwanzo halafu uje ofisini tuonane."

Ujumbe wa leo...

" Mtu hapotei na mdundiko... "

T.G.I.F

Kuna mtoto mmoja hv alichelewa kuongea hadi anafika miaka 8. Siku moja hivi akiwa na miaka 8 na kama miezi 7 akaongea neno moja tu “BABU” basi baada ya siku 3 yule babu akafa. Siku nyingine tena akasema neno “BIBI” basi baada ya siku 2 yule bibi akafa.   Sasa kuna siku nyingine wakiwa dining room wanakula akasema neno “BABA” aaahh, basi yule baba yake akaacha kula akakimbilia chumbani na kuanza kuweweseka na kulialia… kesho yake asubuhi HOUSE BOY akafariki. Kulikoni?

Taswira zetu, tuambie... wapi hapa?

Image

Nairobi down town view

Image
  Nairobi down town view from 30th floor of Times Tower...   The Nairobi Hilton (top and below)

Dr. Julius Kambarage Nyerere...

Image

Habari Mvunjiko - Breaking News...

Habari za mpya zimelifikia dawati letu la habari kuhusu moto mkubwa unaoendelea kuwaka katika eneo la kituo cha mabasi cha Mwenge jijini Dar es salaam. Inasemekana kuna moto mkubwa umezuka katika kituo hicho kama dakika 40 zilizopita. Hadi sasa vyumba na mali vinazidi kuungua, hali si shwari na usalama umekuwa mdogo baada ya kukosa ulinzi kwani kila mtu anahangaika kutoka mali zake nje, Cha ajabu hadi sasa hakuna gari la kuzima lililofika katika eneo la tukio. Chanzo hadi sasa hakijafahamika na bado haijajulikana ni hasara ya kiasi gani ukizingatia moto unaendelea kuwaka na mali zinazidi kuteketea

Dunia kushnei...