Posts

Showing posts from November, 2013

RATIBA YA MSIBA WA JOVIN SHUMBUSHO

Image
Hayati Jovin Shumbusho 1963 - 2013 (pichani)  SIKU MUDA TUKIO MAHALI WAHUSIKA 08/11/2013 Saa 4:00 asubuhi Mwili kuchukuliwa toka Hospitali Hospitali ya Taifa Muhimbili Kamati husika 08/11/2013 Saa 5:00 asubuhi Mwili kuwasili nyumbani kwa Jovin Makongo Mwisho Kamati + waombolezaji wote 08/11/2013 Saa 5:30 asubuhi Sala fupi Makongo Mwisho Wanajumuiya + waombolezaji wote 08/11/2013 Saa 6:00 mchana Chakula cha mchana Makongo Mwisho Waombolezaji wote 08/11/2013 Saa 7:00 mchana Msafara wa kuelekea Kanisani Waombolezaji wote 08/11/2013 Saa 8:00 mchana Ibada ya Misa Takatifu Parokia ya Mtakatifu Petro - Oysterbay Waombolezaji wote 08/11/2013 Saa 10:30 alasiri Msafara kurejea nyumbani Waombolezaji wote 08/11/2013 Saa 12:00 magharibi Mkesha wa sala

R. I. P. Jovin Shumbusho

Image
Jovin Shumbusho enzi za uhai wake. Ndugu Jovin Shumbusho (pichani), aliyekuwa Principal Tax Investigations Oficer wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Idara ya Upelelezi wa Kodi, Amefariki dunia jana jioni katika hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha "ICU".  Jovin Shumbusho alisumbuliwa na uvimbe kwenye ubongo, uliopelekea aende nchini India kwa matibabu na kufanyiwa upasuaji. Alirudi Tanzania na kuendelea na dawa pamoja na uangalizi wa madaktari kwa muda wote. Mipango ya mazishi tunasubiri taarifa rasmi kutoka kwa familia yake. Msiba upo nyumbani kwake Makongo Juu, Dar es Salaam. Tulimpenda sana Kaka yetu, Mshauri wetu, Kiongozi wetu, Mume kwa mkewe Eva, Baba kwa wanae Nancy na Jovin Junior, Mtoto kwa baba yake Mzee Shumbusho, lakini Mungu amempenda zaidi. Utukufu Juu kwa Mungu milele amina. Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina lake Lihimidiwe. Mungu Baba Mwenyezi aiweke roho ya Kaka Jovin Shumbusho mahala pema peponi. Amen. Kwa niaba yangu binafsi na fa

Honest Nutrition for your Ultimate Body...

Did you know that almost ALL yogurts are flat out bad news for your waistline? "Light" yogurts, for instance, are absolutely terrible for you, and for more reasons that one. First, most "light" yogurts are loaded with artificial sweeteners and/or high fructose corn syrup. High fructose corn syrup (HFCS) is one of the top 3 WORST ingredients you could ever consume.  First, as it's name suggests, it's made of primarily fructose, a sugar that easily spills over to fat storage when consumed in sizable quantities. And artificial sweeteners are...well...artificial.  Do you really want to put chemically altered, man-made ingredients that don't exist in nature into your body?  Us either. Second, HFCS is made from genetically modified corn. Third, HFCS spikes blood sugar and insulin like almost no other food or ingredient. Bad news all around. Bottom line, just because something is low calorie (i.e. "Light") doesn't make it a healthy choice, or even