Posts

Showing posts from May, 2014

TANZIA...

Image
Private Brian Salvarory Rweyemamu enzi za uhai wake. Bwana Salvatory Rweyemamu wa Kinondoni Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Private Brian Salvarory Rweyemamu aliyefariki alfajiri ya kuamkia tarehe 15 Mei, 2014 katika hospitali ya Jeshi Lugalo alipokuwa akitibiwa. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Bwana Salvatory Rweyemamu Kinondoni jirani na Vijana (Mango Garden). Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki walioko Dar es Salaam, Kagera, Malawi, Afrika Kusini, Uingereza na Canada. ***************************************  Asante Michuzi Blog kwa Taarifa.  Poleni sana familia ya Rweyemamu. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe, Amen.