Posts

Showing posts from 2017

TANZIA - KANALI MSTAAFU SAMWEL ELIEZER MOSHA (P1397)

Image
Kuzaliwa 06 JAN 1944 - Kufariki 01 DEC 2017 Mzee wetu huyu amelitumikia Jeshi la Wananchi la Tanzania katika nafasi mbali mbali mpaka anastaafu Jeshi  Tareh e 24 SEP 1983  alikuwa na cheo cha Kanali. Amewahi kuwa 'field engineer' na 'inspector' huko Jeshini , amekuwa mwalimu wa maaskari Chuo cha Jeshi Mond uli, amekuwa Mwalimu wa wapigania Uhuru mbali mbali wa Afrika huko Nachingwea Tanzania. Ni rafiki na Mh. Yoweri Kaguta Museveni (Rais wa Uganda) na alikuwa rafiki na Hayati Samora Machel (Aliyekuwa Rais wa Msumbiji). Amepigana vita ya Uganda, baada ya vita ya Uganda alikuwa Msaidizi wa Waziri Mkuu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine. Amekuwa pia Mkuu wa Wilaya mbali mbali kipindi cha awamu ya Kwanza ya  Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Amekuwa pia Mkurugenzi kwenye Shirika la Bima la Taifa (NIC) kabla ya kustaafu rasmi kwa mujibu wa sheria. Kanali Mstaafu Samwel E. Mosha alikuwa ni ndugu (rika moja) na Marehemu Baba Yangu Mzazi

Saint Mother Teresa message is valid for life...

Image
The above message is a summary of why we should do our best to love our families and all our loved ones around us. When you love your family, your environment and anything around you automatically you will be loving God. Love is the summary of all the ten commandments  from God and the holy books Bible and Quran.  When you practice love don't expect to be loved back, especially when your love is bold as to your Country, Society, etc. There're always haters in everything who tend to take advantage of situations and events! Never mind, keep on loving your family, your environment and anything around you.  Remember, loving your family, your environment and anything around  you is automatically loving your God! One elder (Whom I respect very much) in our society (Tanzania) once declared that, he received a message from one of his spiritual leaders that, he should love and appreciate everything around him because what is around him is a gift from God despite how they

THE VERTUE OF CHARCOAL - MAAJABU YA MKAA!

Charcoal is one of the most disregarded products at home. We only see the need for it when it is time to set fire for food. However, if you really need first aid, charcoal is something you need to have on you all the time, you might not know this but it is one of the most medicinal products you can have at home due to its poison extraction ability. In case you never gave it much attention, this is the time to do so. Here are *14 benefits* of charcoal you never thought about. 1. Odour Prevention Does your shoe smell bad? just get some charcoal and put it in them. Do you have any bad smell in your room? Drop some charcoal where you suspect the smell could be coming from. Does your fridge or freezer smell? Put a piece of charcoal in it. Do you have strong body odour? Just make a powder out of charcoal and use, thank us later. Charcoal is very good at getting rid of bad smell. Ever wondered why your parents always scooped out the ash from the coal pot to pour in the hen coop or to

Petrol cars will vanish in 8 years, says US report from Stanford economist

Image
May 15 2017 at 11:08 AM, Stanford " A Tesla Model S, which has 18 moving parts, one hundred times fewer than a combustion engine car. "Maintenance is essentially zero," says Stanford University economist Tony Seba. "That is why Tesla is offering infinite-mile warranties. You can drive it to the moon and back and they will still warranty it."  No more petrol or diesel cars, buses, or trucks will be sold anywhere in the world within eight years. The entire market for land transport will switch to electrification, leading to a collapse of oil prices and the demise of the petroleum industry as we have known it for a century. This is the futuristic forecast by Stanford University economist Tony Seba. The professor's report, with the deceptively bland title Rethinking Transportation 2020-2030, has gone viral in green circles and is causing spasms of anxiety in the established industries. Mr Seba's premise is that people will stop driving al

Mjue Sarah Saartijie Baartiman Born (approx.) 1770s Died 29 December 1815 (aged 39–40)

Born (approx.) 1770s Near Gamtoos River, Eastern Cape, Dutch Cape Colony Died 29 December 1815 (aged 39–40) Paris, France. Sarah Saartijie Baartiman ni mwanamke aliyezaliwa mwaka 1789 nchini afrika kusini.Kutokana na kujaaliwa umbo,kwa kuumbwa kuwa na umbo zuri (physical shape - mafoloji) wazungu waliamuwa kumtumia kama chombo cha utalii na starehee. Mwanamke huyu alijaliwa mwili makubwa,sura nzuri na kila sifa za mwanamke wa kibantu aliyejaliwa.Kutokana na hila za wazungu katika kipindi hicho cha ubaguzi wa kutisha,waliamuwa kumchukuwa Sarah Saartijie Baartiman na kumpeka nchini ufaransa,ambapo ndiko hasa mateso kwa mwanamke huyu asie na hatia yalizidi mno.Alifanyiwa unyama wa kutisha wa kila aina kutokana na kosa la kupewa umbo zuri na Mungu. Mnamao mwaka 1815,mwanamke huyu akiwa bado binti mchanga aliaga dunia,kifo chake kilisabishwa na mateso makali ya wazungu,waliokuwa wanamuingilia kimwili kwa idadi kubwa isio na mfano,kumsimamisha mrembo huyu kwa muda mrefu ili wat