Posts

Showing posts from December, 2008

Nawashukuruni sana...

Image
Kwa niaba ya wanajamii na wana-blogu wote, ningependa kuwatakieni heri ya sikukuu za xmas na mwaka mpya wa 2009. tuongeze ushirikiano na kuamshana kifikra, mawazo, kielimu nk, pia tuzidi kupigana tafu kila inapobidi... ahksanteni sana.

Mambo haya utayapata Vietnam tuu...

Image
inaelekea kama jamaa anamuuliza mkewe "hivi jana usiku uliniita jina gani vile...?" kuna anayetaka lifti? aingie tuu... kitoweo swafiii kwa wenzetu wa huko... kinapelekwa kupikwa, baada ya maandalizi rasmi ya awali. maalumu kwa watoto wawili tuu... ndio, matumizi bora ya nafasi... sio nanihii! basi la kijiji, njiani kurudi kijijini watoto nao hajaachwa mbali... siku ya kuhama mambo huwa hivi... na lazima tuhame! kukosa uwezo wa kununua helmet isiwe tabu... hata hii inafaa. timu yetu ya kijiji ikielekea uwanjani... mnataka haki za wanyama, sawa... hatuwatembezi tena, tunawapakia kwenye piki piki zetu. hata kitimotoz hatukibagiu... nacho kinapata "ride" skuli basi ya kijiji njiani kuwarudisha wasomi wetu... ndo wameshafunga mgahawa, wanarudi home taratiiiiibu... bei ya spea na vipuri inapanda kila mara... dawa ni kubadili injini tuu! tupo harusini... na hao ndo maharusi wetu wakiingia ukumbini! akitokea sokoni kuelekea kwenye mgahawa wake... kuandaa misosizzz na hii n...

The amazing tree named 'NAREEPOL'.

Image
In Thai, NAREE means 'girl/woman' and POL means 'plant/tree' or 'buah'. In Malay , it means women tree. It is amazing.... GOD created the World in many forms that amused human beings . You can see the real tree at Petchaboon province about almost 500 kms away from Bangkok city... Observe carefully the fruits on the tree...

Mbuga zetuz...

Image
TEMBO NA WATALII KATIKA MOJA YA MBUGA ZETU... ZINAVUTIA KWELI KWELI.

Mlima wetuz, kilimanjaro...

Image
MLIMA WETU AMBAO NI MKUBWA KULIKO YOTE BARANI AFRIKA... BONGO TUNATISHAZ

Jiji letuz... darisalama

Image
DAR ES SALAAM KWA JUU, NI TAMBARARE KINOMA!

Waheshimiwa wetuz...

Image
KAMPTENI MSTAAFU JOHN KOMBA AKIWA KATIKATI YA SHUGHULI.

Ma Raisi wetu... inaendelea

Image

Ma Raisi wetu...

Image

Daktari aokoa maisha ya mtoto kwa SMS

SOURCE: JamiiForum Wandugu, Hii muhimu sana, inaitaji moyo wa ujasiri unapokumbwa na jambo kama hili katika mazingira magumu. Shadow Surgeon saves boy's life by text David Nott volunteers for a month a year with the medical charity A British doctor volunteering in DR Congo used text message instructions from a colleague to perform a life-saving amputation on a boy. Vascular surgeon David Nott helped the 16-year-old while working 24-hour shifts with medical charity Medecins Sans Frontieres (MSF) in Rutshuru. The boy's left arm had been ripped off and was badly infected and gangrenous. Mr Nott, 52, from London, had never performed the operation but followed instructions from a colleague who had. The surgeon, who is based at Charing Cross Hospital in west London, said: "He was dying. He had about two or three days to live when I saw him." Careful instructions It is not clear how the boy was injured. It was suggested that he had been bitten by a hippopotamus while fishing...