Posts

Showing posts from 2008

Nawashukuruni sana...

Image
Kwa niaba ya wanajamii na wana-blogu wote, ningependa kuwatakieni heri ya sikukuu za xmas na mwaka mpya wa 2009. tuongeze ushirikiano na kuamshana kifikra, mawazo, kielimu nk, pia tuzidi kupigana tafu kila inapobidi... ahksanteni sana.

Mambo haya utayapata Vietnam tuu...

Image
inaelekea kama jamaa anamuuliza mkewe "hivi jana usiku uliniita jina gani vile...?" kuna anayetaka lifti? aingie tuu... kitoweo swafiii kwa wenzetu wa huko... kinapelekwa kupikwa, baada ya maandalizi rasmi ya awali. maalumu kwa watoto wawili tuu... ndio, matumizi bora ya nafasi... sio nanihii! basi la kijiji, njiani kurudi kijijini watoto nao hajaachwa mbali... siku ya kuhama mambo huwa hivi... na lazima tuhame! kukosa uwezo wa kununua helmet isiwe tabu... hata hii inafaa. timu yetu ya kijiji ikielekea uwanjani... mnataka haki za wanyama, sawa... hatuwatembezi tena, tunawapakia kwenye piki piki zetu. hata kitimotoz hatukibagiu... nacho kinapata "ride" skuli basi ya kijiji njiani kuwarudisha wasomi wetu... ndo wameshafunga mgahawa, wanarudi home taratiiiiibu... bei ya spea na vipuri inapanda kila mara... dawa ni kubadili injini tuu! tupo harusini... na hao ndo maharusi wetu wakiingia ukumbini! akitokea sokoni kuelekea kwenye mgahawa wake... kuandaa misosizzz na hii n

The amazing tree named 'NAREEPOL'.

Image
In Thai, NAREE means 'girl/woman' and POL means 'plant/tree' or 'buah'. In Malay , it means women tree. It is amazing.... GOD created the World in many forms that amused human beings . You can see the real tree at Petchaboon province about almost 500 kms away from Bangkok city... Observe carefully the fruits on the tree...

Mbuga zetuz...

Image
TEMBO NA WATALII KATIKA MOJA YA MBUGA ZETU... ZINAVUTIA KWELI KWELI.

Mlima wetuz, kilimanjaro...

Image
MLIMA WETU AMBAO NI MKUBWA KULIKO YOTE BARANI AFRIKA... BONGO TUNATISHAZ

Jiji letuz... darisalama

Image
DAR ES SALAAM KWA JUU, NI TAMBARARE KINOMA!

Waheshimiwa wetuz...

Image
KAMPTENI MSTAAFU JOHN KOMBA AKIWA KATIKATI YA SHUGHULI.

Ma Raisi wetu... inaendelea

Image

Ma Raisi wetu...

Image

Daktari aokoa maisha ya mtoto kwa SMS

SOURCE: JamiiForum Wandugu, Hii muhimu sana, inaitaji moyo wa ujasiri unapokumbwa na jambo kama hili katika mazingira magumu. Shadow Surgeon saves boy's life by text David Nott volunteers for a month a year with the medical charity A British doctor volunteering in DR Congo used text message instructions from a colleague to perform a life-saving amputation on a boy. Vascular surgeon David Nott helped the 16-year-old while working 24-hour shifts with medical charity Medecins Sans Frontieres (MSF) in Rutshuru. The boy's left arm had been ripped off and was badly infected and gangrenous. Mr Nott, 52, from London, had never performed the operation but followed instructions from a colleague who had. The surgeon, who is based at Charing Cross Hospital in west London, said: "He was dying. He had about two or three days to live when I saw him." Careful instructions It is not clear how the boy was injured. It was suggested that he had been bitten by a hippopotamus while fishing

Anapata bao mara 200 kwa siku!!!!

Image
From newsoftheworld.co. uk PRETTY Sarah Carmen (pichani kushoto) is a 200-a-day orgasm girl who gets good, good, GOOD vibrations from almost anything. The rumble of a train on the tracks, the purr of a hairdryer, the rhythmic drone of a photo-copier are all enough to make her go oh oh oh, ahhhhh. She had FIVE orgasms during our 40-minute interview. But I can't take the credit—it was just talking about her sex life that set her off. Sarah, 24, suffers from Permanent Sexual Arousal Syndrome (PSAS), which increases blood flow to the sex organs. She said: "Sometimes I have so much sex to try to calm myself down I get bored of it. And men I sleep with don't seem to make as much effort because I climax so easily." As she chatted, Sarah became increasingly flustered. "Sorry, you'll have to excuse me for a minute. I'll be with you in a sec," she mumbled before letting out a long sigh. Sarah, from London, developed PSAS after being prescribed anti-depressants

Unayajua haya...

1) Longest English Word: Praetertranssubstantiationalistically.... has 37 letters. 2) Book Without Letter "e": GADFY, written by Earnest Wright in 1939 is a 50,000+ word book, which doesn't contain a single word with 'e' in it 3) Word without Vowel: Rhythm, Sky, Fry, Cry 4) Human Brain: Organ of body which has no sensation when cut. 5) Crocodile: Only animal & reptile which sheds tear while eating. 6) No. of Alphabets, which SOUND AS WORDS: They are B............Bee C............Sea I............Eye O............Or P............Pee Q............Queue R............Are S............Yes T............Tea U............You Y............Why Fascinating Animals, Birds, Trees: 1).....SNAILS have 14175 teeth laid along 135 rows on their tongue. 2).....A BUTTERFLY has 12,000 eyes. 3).....DOLPHINS sleep with 1 eye open. 4).....A BLUE WHALE can eat as much as 3+ tones of food everyday, but at the same time can live without food for 6 months. 5).....The EARTH has over 12,00

Lowassa na Rostam Aziz ni wamiliki wa Kagoda Company -

SOURCE : JAMII FORUM Jumatatu nilisema kwamba washtakiwa wa EPA,wote,kila mmoja wao,wasamehewe. Watu wengine wakauilza,kwa nini wasamehewe,wakaniambia,"You are a ***** for making that suggestion" Lakini sasa I am told kwamba Waziri Mkuu Mstaafu Lowassa na Mbunge Rostam Aziz ndio wamiliki wakuu wa Kagoda Agric. Co.. Sasa, siyo rahisi zaidi kuwaachia huru watu kama hawa badala ya kuwapeleka Mahakamani? Jana Slaa,Mbunge wa Chadema aliongea katika mkutano na kuwataja tena hawa wahusika wa Kagoda Co. Sijui alimtaja nani,kwa sababu haikuandikwa kwenye gazeti,ingawa ilitajwa katika mkutano. Lakini,hawa Lowassa na Rostam Aziz,ndio ambao nimesikia from a relaible source,kwamba ndio wahusika wa hii Company. Katika hali ya namna hii,ambapo watuhumiwa wanaweza kutajwa kwenye mkutano uliohudhuriwa na watu 1000,lakini hawawezi kuandikwa katika gazeti,inaonyesha kwamba kuna mazingira ya vitisho,a clear and present danger to national security,na ingekuwa siyo jambo baya kwa watu hao,kuwa ro

Paka wa ajabu kazaliwa Australia

A vet in Australia thought he was seeing double when a cat in labour gave birth to a two-headed kitten. The one-in-a-million grey and white mog can only use one of its two faces to eat because of a cleft palate. But remarkably both of its mouths can miaow at the same time. The tiny kitten was born at the Swan Veterinary Clinic in Perth, Western Australia. Its mother had endured complications during the birth. But veterinarian George Huber and his nurse, Louisa Burgess, successfully delivered the remarkable cat in a litter of three. The other two cats were born without deformities. It follows the birth of a four-eared kitten in Illinois in August. The feline's freaky feature is the result of a congenital deformity. Ms Burgess said she was used to kittens being born with double joints, but never two faces. "I have seen cats with two tails and extra legs, but not this," she told the website inmycommunity.com.au. Despite its irregular birth, Ms Burgess reported that cat and i

Ubishoo bila shule!!!!! NOMA...

Chekibobu mmoja aliyekuwa akijifanya anajua ung’eng’e huku akijifanya yeye ni matawi ya juu alikwenda kupata msosi yeye na demu wake.Si unajua mabishoo kwa kupenda kujikweza? Basi demu akaagiza chipsi kuku jamaa akaagiza wali nyama. Baada ya kumaliza wakaletewa bili yao ambayo ilikuwa ni sh, elfu (15,000). Kumbe jamaa mfukoni alikuwa na kiasi hicho hicho cha pesa, akalipa lakini kwa shingo upande huku akimuomba Mungu yule demu asijekuagiza kitu kingine maana ataumbuka. Ile wanainuka tu demu si akamuomba mhudumu amletee ‘tooth stick’ za kuchokonolea meno ambazo hutolewa bure kwa mteja. Yule brothermen kusikia vile akaanza kuwaka akijua kwamba atatakiwa kulipa wakati hana kitu mfukoni na kuwaka akisema “Sweet yaani unaagiza tena? Hizo ‘tooth stick’ utalipa mwenyewe” Demu kusikia vile akajua jamaa kumbe hakwenda hata darasa moja! Palepale kila mtu akashika njia yake...

KP Leo...

Image

Pregnant man who was on Oprah -- is pregnant again!!!!

Image
Kwenye show ya nyuma ya Oprah, wakati njemba inajitokeza kwa mara ya kwanza hadharani kwa jamii kwamba imebeba mimba na inahamu kubwa ya kujifungua!!!! Njemba ikiwa na mkewe na mtoto wao wa kwanza... sasa inasemekana njemba imebeba tena mimba... imeshanogewa na uzazi... yetu macho! Thomas Beatie -- the "pregnant man" who made headlines and gave his first exclusive interview to Oprah Winfrey and People magazine -- is pregnant again. Barbara Walters -- who's profiling Beatie and his wife in a one-hour special tomorrow night on ABC called "Journey of a Pregnant Man" -- revealed today on The View that during their interview, the couple said they'll give birth again in June. His story made world headlines and sparked a rush of comments on this blog months ago"I said I'm speechless," Walters said during the morning gab fest. Beatie -- legally a man -- gave birth to his first child, a baby girl, back in Ju ne.

Lol!!! mambo ya 1st dating...

A girl asks her boyfriend to come over Friday night to meet, and have dinner with her parents. Since this is such a big event, the girl announces to her boyfriend that after dinner, she would like to go out and make love for the first time. The boy is ecstatic, but he has never had sex before, so he takes a trip to the pharmacist to get some condoms. He tells the pharmacist it's his first time and the pharmacist helps the boy for about an hour. He tells the boy everything there is to know about condoms and sex. At the register, the pharmacist asks the boy how many condoms he'd like to buy, a 3-pack, 10-pack, or a family pack. The boy insists on the family pack because he thinks he will be rather busy, it being his first time and all. That night, the boy shows up at the girl's parents house and meets his girlfriend at the door. 'Oh, I'm so excited for you to meet my parents, come on in!' The boy goes inside and is taken to the dinner table where the girl's pa

Afrika tunamatatizo... for sure!

45 years ago, Kibaki, omar bongo, museveni and Michuki's type of leaders... were in Cabinet and Kennedy was running for President. Obama was 1 year old. 45 years later, Kibaki and Michuki type are still in cabinet, and Obama is a candidate for the same seat Kennedy was running. In 45 years, Obama's father is dead, we have had Johnson,Carter,Nixon, Ford, Reagan, Clinton, Bush 1 and Bush 2 in USA in between as presidents but in Kenya the same guys in their 70's and 80's are still trying to tell Kenyans they can make development models that work?' Makes u think?? Something is seriously wrong with Africa!!!!! Something is wrong with you too!!!!!!!!!

watoto wa siku hizi...

Katika daladala katoto ka nursery kanaimba: “Baba angekuwa jogoo na mama mtetea, mi ningekuwa kifaranga”. Watu kimya. Akaendelea: “Baba angekuwa beberu na mama mbuzi, mi ningekuwa ndama”. Konda kaona kanamzingua akakauliza: “Je, baba angekuwa mlevi na mama changudoa we ungekuwa nani?” Katoto kakajibu, “Si ningekuwa konda wa daladala?”

LOVE... ITS ALL ABOUT LOVE!

While polishing his new car, his 4 yr old son picked stone and scratched lines on the side of the Car. In anger, this man took the child's hand & hit it many times, not realizing he was using a wrench. At the hospital, the child lost all his fingers due to multiple fractures. When this little angel saw his father.... with so much pain and tears in his eyes he asked 'Dad when will my fingers grow back?’ The Man was so hurt and speechless. He went back to car and kicked it a lot of times. Devastated by his own actions, and sitting in front of that car he looked at the scratches, the child had written 'LOVE YOU DAD' . The next day that man committed suicide . . . ! Anger and Love have no limits, but choose the latter to have a beautiful and lovely life . Things are to be used and people are to be loved, but in today's world it's the reverse. People are used and things are loved. Take a moment and think through your life. If you have loved people less than you

Mambo ya kubadili kazi...

A taxi passenger tapped the driver on the shoulder to ask him a question.The driver screamed, lost control of the car, nearly hit a bus, went up on the footpath, and stopped centimeters from a shop window. For a second everything went quiet in the cab, and then the driver said:"Look mate, don't ever do that again. You scared the daylights out of me! The passenger apologized and said, "I didn't realise that a little tap would scare you so much." The driver replied, "Sorry, it's not really your fault. Today is my first day as a cab driver – I've been driving a mortuary van for the last 25 years." Source: Issa Michuzi Blog

Heart Attacks and Drinking Warm Water

Image
This is a very good article. Not only about the warm water after your meal, but about Heart Attacks . The Chinese and Japanese drink hot tea with their meals, not cold water , maybe it is time we adopt their drinking habit while eating. For those who like to drink cold water, this article is applicable to you. It is nice to have a cup of cold drink after a meal. However, the cold water will solidify the oily stuff that you have just consumed. It will slow down the digestion. Once this 'sludge' reacts with the acid, it will break down and be absorbed by the intestine faster than the solid food. It will line the intestine. Very soon, this will turn into fats and lead to cancer . It is best to drink hot soup or warm water after a meal. Common Symptoms Of Heart Attack ... A serious note about heart attacks - You should know that not every heart attack sym

Kimbembe cha wastaafu wa EAC leo asubuhi

Image
wastaafu wa jumuiya ya afrika mashariki wakiwa katika harakati za kudai malipo yao leo asubuhi. hapa walizuia magari yasipite eneo la daraja la salenda bridge. ilikuwa bonge la mbinde... lakini hatimaye walikubali kuondoka baada ya mkuu wa mkoa wa dsm, mh abbas kandoro kuongea nao. habari zaidi baadae...

Ze KPzzzzzzzz

Image

A warning to you all...

I (Mary Mwithiga) was shopping at a supermarket in town (Imalaseko in Dar town) and as I carried on, I lingered over some cute looking candles that seemed they'd look good in my house... little did I know that some dude was up to no good! He was smartly dressed. He seemed interested in the same candles and was busy smelling one when he drew my attention to smell the same... and as he took a step towards me, holding out the candle for me to smell, while telling me how nice it smells etc... I was hit by a strong/pungent smell of alcohol! I stepped back immediately cos the last thing I needed was to deal with a drunkard! I asked him if he worked at the supermarket and he said yes. I was very disgusted with that particular store if that's the calibre of attendants they work with! I immediately thought to confirm if the dude worked there and was told he is not an employee. By then, My heart started racing at a dangerous pace! I was prompted to pray quietly in my heart to God, to hel