Posts

Showing posts from May, 2013

Chips Kuku za Moshi Town @ Vunjo Bar...

Image
  Hii ni kuku ndizi...   hii ni kuku pekee... juu na chini.   mlango wa kuingilia 'restaurant' baada ya kuweka 'order' yako hapo nje...   sehemu ya maandalizi ya kuku, viazi na ndizi...   wateja wakiweka order zao jikoni   bidhaa a.k.a mzigo  ukiwa jikoni kwenye maandalizi...   kul boksi ya kuhifadhia kuku baada ya kukaangwa kabla ya kuuzwa!   Mlango wa kuingilia Vunjo Bar...   chips kuku ikiwa tayari kwa kuliwa, mhudumu wa siku hiyo akionekana chini... Hapo Vunjo Bar ni muungano wa wakina mama wajasiriamali waliamua kukaa pamoja kuweka mitaji kufuga kuku na kuwauza. Kuna kuku wazuri, waliofugwa kwa ustadi mkubwa na wanaondaliwa vizuri sana. Nilikula robo kuku, kutokana na ladha nzuri au tamu ya kupindukia nililazimika kuongeza kuku. Wenyewe wanasema kama ukihitaji kuongeza chips ni bure, ila kuongeza kuku nalipa. Nakuhakikishia ukienda lazima utaongeza kuku! kwa wakina mama ambao hawan...