Posts

Tahadhari kwa wadau...

Image
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF INFTRASTRUCTURE DEVELOPMENT TANZANIA METEOROLOGICAL AGENCY Telegrams:"METEO"DAR ES SALAAM.                                                                       Telex: 41442 HEWA Telephone: 255 (0) 22 2460718 Telefax:      255 (0) 22 2460722                                             ...

Little John's assumptions...

Image

wadau wa ujenzi...

Image
Kwa wajenzi na wapenzi wa ukarabati wa nyumba zao, directory ya watengenezaji na wauzaji wa mali-ghafi za ujenzi ni hii hapa "http://www.buildersdepot-tz.com/ " Kazi kwenu wadau...

TID (Top in Dar)...

Image
TID na mkewe kama ilivyoandikwa kwenye blogu yake. Kwa data zaidi, BOFYA HAPA Mashabiki kwenye moja ya maonyesho yake (juu na chini) TID amejitoa kwenye mashindano ya KILI MUSIC AWARD! kwa habari zaidi BOFYA HAPA

vichwa vya uingereza...

Image
Paula and Peter Imafidon are just like any other 9-year-olds. They love laughing, playing on the computer and fighting with each other. What sets these twins apart from their peers, though, is that they are, hands down, prodigies who are about to enter high school and make British history as the youngest to do so. Watch Paula and Peter, who were 8 at the time, share their braininess here: These precocious London-based tykes, known as the "Wonder Twins," floored academics a year ago when they aced University of Cambridge's advanced mathematics exam. They are the youngest students to ever pass the test. The future little scholars' father, Chris, and mother, Ann, immigrated to Britain from Nigeria more than 30 years ago and have actually been down this prodigy route before with their three older children, who are also overachievers. The couple's oldest daughter, Anne-Marie, is now 20, but at age 13, she won a British government scholarship to take undergraduate cours...

Uu Mrembo Sana...Simama Tukupige Picha!

Image
Haya ni maisha ya kawaida huko mpakani mwa sudan na Ethiopia. Hakuna anayeshangaa kitu hapo…! Huruhusiwi kumgusa binti mpaka uripoti kwenye boma la familia yao na kupata Baraka za ukoo! Habari na Picha kwa hisani ya JamiiForum.

Pete za ndoa...

Image
Wadau, je ni lazima au kuna umuhimu pete za ndoa kuwa za dhahabu pekee? Nauliza wakuu... maana hata za fedha (silver) au shaba (bronze) zinapendeza pia kama tuonavyo pichani... nakaribisha mjadala.