Posts

MBA (Mentally Below Average) Management Lessons for you...

LESSON 1 A junior manager, a senior manager and their boss are on their way to a meeting. On their way through a park, they come across a wonder lamp. They rub the lamp and a ghost appears. The ghost says, "Normally, one is granted three wishes but as you are three, I will allow one wish each" So the eager senior manager shouted, "I want the first wish. I want to be in the Bahamas , on a fast boat and have no worries." Pfufffff... And he was gone. Now the junior manager could not keep quiet and shouted "I want to be In Florida with beautiful girls, plenty of food and cocktails." Pfufffff¡-. And he was also gone. The boss calmly said, "I want these two idiots back in the office after lunch at 12.35pm." MORAL OF THE STORY IS: "ALWAYS ALLOW THE BOSS TO SPEAK FIRST" LESSON 2 Standing in front of a shredder with a piece of paper in his hand, "Listen," said the CEO, "this is a very sensitive and important documen...

Asian family in transit...

Image
Kama ni kubana matumizi wamefanikiwa, lakini usalama hapo ni sifuri (zero!) hawa jamaa bana...

Springbok appears in the Guiness World Records...

Image

Tanzania Zinduka: Utapeli mpya kwa wamiliki wa nyumba Bongo...

Stori kutoka JamiiForum  Nimekutana na habari kuwa upo utapeli wa aina yake ambao umeshawaliza watu wachache. Unahusiana na kundi linalokuja kwa lengo la kuja kupangisha nyumba na kufanya mambo lukuki hasa kwa watu wenye nyumba mpya. Mtu mmoja amesimulia hivi: Quote: Mmh ndugu zangu ni kwel hawa matapeli mimi mwenzenu nimeuvaa mkenge Morogoro na niliona ni wahitaji wa nyumba kweli na modus operandi waliyoitumia ni hiyo ya kuhonga TRA ILI MALIPO YAWAHI Wanatumia namba 0758409096 na 0682768889 ni vyema watu wa usalama waingilie kati asante kwa kunifumbua macho na masikio kwani nilikuwa naendelea kufanya nao mawasiliano Na mwingine akadokeza Quote: jamani yamenikuta ni juzi walikuja kwenye eneo langu chanika ila sikufikia hatua ya kutoa hela walikuwa bado wapo kwenye mawasiliano na wakaniambia niende posta wamenitumia mkataba wa vitu wanayohitaji jamni tuweni mamcho m...

NDEGE YADONDOKA HUKO MBEYA LEO ASUBUHI

Image
Hii hapa ndio ndege yenyewe na mahali ilipoangukia baada ya injini zake kuzima ghafla. Ni Ndege ambayo ni mali ya kampuni ya Kapunga Rice huko Mbeya. KICHWANGUMU Blog Tunawapa pole wote waliopatwa na tatizo hili, kwa taarifa tulionaza hamna mtu aliyepoteza maisha wote wametoka salama ni mmoja tu alipata majeraha madogo. MUNGU IBARIKI TANZANIA Taarifa hii tumeipata kutoka mbeyayetu Blog NA KAPINGAZ BLOG

Kiwango cha elimu kitakua kweli?!?!?!?1,....

Image
Wanafunzi wa darasa la saba wakiwa katika mtihani wao wa mwisho kumaliza elimu ya msingi! Hivi wadau, jiulizeni... watoto hawa walisomea wapi? walikuwa na mafunzo kwa vitendo? walipata vitabu na maktaba ya kusomea? maana darasa lao la kufanyia mtihani wa mwisho ni ishara kwamba hapo kiwango cha elimu kinatia shaka! TAFAKARI...

Kipanyaaa....

Image