SOURCE : JAMII FORUM Jumatatu nilisema kwamba washtakiwa wa EPA,wote,kila mmoja wao,wasamehewe. Watu wengine wakauilza,kwa nini wasamehewe,wakaniambia,"You are a ***** for making that suggestion" Lakini sasa I am told kwamba Waziri Mkuu Mstaafu Lowassa na Mbunge Rostam Aziz ndio wamiliki wakuu wa Kagoda Agric. Co.. Sasa, siyo rahisi zaidi kuwaachia huru watu kama hawa badala ya kuwapeleka Mahakamani? Jana Slaa,Mbunge wa Chadema aliongea katika mkutano na kuwataja tena hawa wahusika wa Kagoda Co. Sijui alimtaja nani,kwa sababu haikuandikwa kwenye gazeti,ingawa ilitajwa katika mkutano. Lakini,hawa Lowassa na Rostam Aziz,ndio ambao nimesikia from a relaible source,kwamba ndio wahusika wa hii Company. Katika hali ya namna hii,ambapo watuhumiwa wanaweza kutajwa kwenye mkutano uliohudhuriwa na watu 1000,lakini hawawezi kuandikwa katika gazeti,inaonyesha kwamba kuna mazingira ya vitisho,a clear and present danger to national security,na ingekuwa siyo jambo baya kwa watu hao,kuwa ro...