Chiku Haidari

Wadau, Leo ni siku ya kuzaliwa kwa ndugu yetu na rafiki wa karibu binti wa Haidari aitwaye Chiku.

Napenda kuchukua nafasi hii kumtakia mafanikio na maisha marefu hapa duniani. Mwenyezi Mungu amjalie apate walau mapacha wanne.

Happy Birthday to you Chiku Haidari

Comments

Popular posts from this blog

Police officers to have new-look uniforms

Kenneth Brumley wa texas "marekani"

TRA acts on fuel tax evasion