Transforma ya umeme yalipuka kiwanda cha bia TBL Ilala jana usiku








Na Mwandishi wetu
DSM

Usiku wa kuamkia leo, maeneo ya Ilala jirani na kiwanda cha bia TBL, transfoma moja lilipuka na madhara yake ndio kama picha zinavyoonyesha! Hakuna mtu aliyejeruhiwa mpaka tunaondoka maeneo hayo.

Tunafuatilia kujua madhara zaidi.

Comments

Popular posts from this blog

Kenneth Brumley wa texas "marekani"

Killer House / Office Plant.

The teenage girl who is allergic to WATER