Wachina Noma...

Sasa wametuletea vyoo vya ndani ya gari. kwa foleni zetu za dar, huwezi kujua... yawezekana ukahitaji huduma ukiwa bado safarini. hasa siku za mwisho wa wiki au baada ya saa za kazi. wapo jamaa zangu wanakaa ununio lakini starehe wanafanyia mbagala, unategemea nini wakati anarudi 'home' kutokea mbagala?!?!?!?!?!...



Comments

Popular posts from this blog

Kenneth Brumley wa texas "marekani"

Killer House / Office Plant.

The teenage girl who is allergic to WATER