Tahadhari.... Holiday seasons.

15th December, Matumizi ya fujo!
 27th December, mitungi kwa sana mpaka kuzimika...
 2nd January, jokofu liko tupu... shilingi za kujazia hakuna!
 7th January, unaanza kupiga msosi ofisini kwa bidhaa za kuchangia. maziwa ya mshikaji, maandazi ya nani sijui, nk. ilimradi siku zisogee mwisho wa mwezi ufike. home patupu!!!!
 15th January, washikaji ofisini wameshaku-shtukia... udandia vijiweni sasa... kukopa kama hivyo inavyoonekana pichani.
20th January, halahala.... hata nauli sasa hakuna... tia maji tia maji mwisho wa mwezi ufike!

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Taarifa za msiba...