Jamani wadau wa blogu hii, tuache longo longo. Huoni walivyopendeza? ukiacha kupendeza kwao, Hawa ni wanandoa wapya, wenye matumaini makubwa kwenye maisha yao ya baadae kama Mume na Mke. Tuwape ushirikiano na kuwatakia mafanikio, Mungu awabariki na kuyatimiza malengo yao, amen.
Comments