Posts

Showing posts from 2012

Mr. President Barack Obama

Image
Huyu Prezidaa ananifurahisha sana, ni wa kipekee. Wamarekani wengi watamkumbuka kwa vizazi vingi vijavyo. He has done a lot, in a short time, tena kwa staili ya ki-pekee, hii picha anaonekana akipasha "push-ups" na team inajipa "Big-Up" tayari kwa game. Hii picha inaweza kuwekewa maneno alfu moja na zaidi... he is incredible...

A very special day in our MOTHER earth...

Date: 12th Dec 2012... 12/12/12 ....will never came back!

Japan weather as of today...

Image
Autorec workshop in Japan...

A trip from Tanga to Dar...

Image
  Just after breakfast...  Refilling ready for return trip...   Soko la barabarani Muheza juu na chini, on the way to Segera...

Today's Joke...

Ticha mgeni wa somo la historia wa darasa la saba, aliamua kuwachemsha wanafunzi wake kabla ya kuanza kipindi. Akawauliza,"ni nani aliyemuua Mkwawa"? Wanafunzi kimyaaa! Akaamua kuchagua wa kujibu. Denti wa 1: Sio mimi mwalimu,hakyaMungu. Denti wa 2: Kweli ticha sikumuua mkwawa,hata simfahamu kwanza Denti wa 3: Mwalimu sio mimi,kwanza jana sikuja shule. Mwalimu akaona hapa hana darasa bali kundi la majuha. Akaenda kwa mwalimu mkuu kumwambia. Ticha mkuu akaenda kwa hasira ktk lile darasa na kuuliza lile swali,majibu yakawa yale yale,kila mtu "sio mimi".  Mkuu kuona vile,akamvuta yule mwalimu pembeni na kumuuliza, "una uhakika lakini kwamba huyo muuaji aliyemuua huyo mkwawa yupo humu ndani? Isiwe unanipotezea tu muda. Kama vp tukaite polisi"

Hot Bath...

Image

OMG ! I CAN'T BELIEVE I DID THIS....

Image

The dANCE!,.,-..

Prezidaa kwenye shughuli zake mkoani Arusha na Manyara hivi karibuni

Image
  Juu na chini Mkuu wetu Mh. Dr. Lt. Col. (rtd) Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Nimependa sana alivyopendeza. hapa ni katika ufunguzi wa barabara ya   Arusha Minjingu maene ya kijiji cha Mguu-wa-Zuberi wilayani Monduli, Mkoani Arusha.  Na hilo pozi pia si mchezo... Mkuu kapendeza...   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Mhe Rose Kamili baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji wa Mwakonko Singida Mjini. Ni katika sehemu za majukumu yake kwa raia anaotuongoza. PICHA KWA HISANI YA IKULU Rais Jakaya Mrisho Kikwete (hapo umeona katupia shuka ya kimasai, Mkuu kwa swaga!) akifurahia jambo na Mh. Fredrick T. Sumaye kwenye moja ya mikutano ya hadhara mkoani Manyara hivi karibuni  PICHA KWA HISANI YA IKULU

Utalii wa ndani katika Hifadhi ya Taifa ya Saadani.

Image
 KICHWANGUMU Juu na Chini katika pilika za utalii...   Robert Kishimba katika utalii wa ndani, Saadani.   Nikiwa na Nobert Lyimo...   Nilivutiwa sana na manthari ya huu mto wami...  Kishimba katika pozi...   Mto Wami, juu na chini... Mbuga!

Breakfast ndani ya "A" town, in Africafe Arusha, double road...

Image
  Antony Munguti akipata news while waiting for his breakfast... a customized one!   Novat Adam (shoto) na Robert Kishimba (kulia) wakipa "breakfast" ya ukweli...   I liked the place, wana variety of choices that you can select from... mention it, juices, tea and cofee with different flavors, snacks, sausages, beacons, etc. etc.   Ukiingia mgahawa wowote bongo na kukuta "tomato ketchup" za dizaini hii, ujue umeingia pa ukweli...   Some of the customized items above and below...   Brown bread, beacons, sausages fulani za ukweli... wanatupia na viazi fulani vya kukudatisha!   Wateja wengine ndani ya mgahawa, maurembo kwa juu...   Kaunta kwa mbaali... na frem ya ma-snacks...   Ma-urembo ya mgahawani na Kishimbaz kwa pembeni... Africafe Arusha kwa nje...

Fisi kagongwa na gari Ingikaret...

Image
  Kutoka Namanga njiani kurudi Arusha tumekuta fisi akiwa amegongwa maeneo ya Ingikaret. Fisi huyo aina ya 'stripped hyena' huwa si maarufu sana kama wale waliozoeleka wa 'spotted hyena'.