Posts

Showing posts from 2014

Access Data Makao Makuu, Salt Lake City, Utah

Image
Nje ya jengo la Access Data huko Salt Lake City, Utah. kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA|

Salt Lake City in Utah...

Katika video hii utaona tour guide wetu akituonyesha mitaa ya Salt Lake City huko Utah. Mitaa ni misafi, imepangwa vizuri (city plan), wanatunza mazingira vizuri (kijani cha kutosha) na hawana fence kama zetu... ila baadhi wameanza kuweka fence... fuatilia...

Founders of Computer Forensics in Tanzania, from one of the Government Agencies... way back in Sept, 2009.

Image
  From left to right Mr. Inno Mosha, The Late Jovin Shumbusho, Deo Shilima and Ande Mwaipopo   Katika video hii utaona tour guide wetu akituonyesha mitaa ya Salt Lake City huko Utah. Mitaa ni misafi, imepangwa vizuri (city plan), wanatunza mazingira vizuri (kijani cha kutosha) na hawana fence kama zetu... ila baadhi wameanza kuweka fence... fuatilia...

Tujikumbushe tulipotoka...

Image
Ze mikonoz... way back in (2009) Salt Lake City in Utah with The Late Brother Jovin Shumbusho.

How to spot a phish...

Image

Sony Xperia Devices Secretly Sending User Data to Servers in China

According to the reports affected devices include the new  Sony Xperia Z3  and  Z3 Compact , and several users from the Reddit community have also reported about the presence of this folder on their mobile phones, too — and not necessarily phones made by Sony. One owns an HTC One M7, another an HTC One X, a few others the OnePlus One. If you own a Sony smartphone either the  Android 4.4.2  or 4.4.4 KitKat firmware then inadvertently you may be transmitting your data back to the servers in China, even if you haven’t installed any application. Quite surprising but it’s true. I know many of you haven’t expected such practices from a Japanese company, but reports popping up at several  forums  suggest that some new Sony Xperia handsets seem to contain the  Baidu spyware . STEPS TO DISABLE BAIDU SPYWARE Backup your important data and factory reset the device. Turn on the device and go to  Settings -> Apps -> Running  and ...

Good morning from Kemondo...

Image
  Leo asubuhi mdau wetu mwingine alibahatika kutembelea nyumba ya milele ya Kaka yetu Jovin Shumbusho huko Kemondo, Bukoba mkoani Kagera. Pichani chini ni mdau mwenyewe, Advocate Stella Majaliwa.

Kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Ndugu yetu Jovin Shumbusho (1963 - 2013) atangulie mbele ya haki.

Image
  Ibada takatifu ilifanyika Parokia ya Makongo Juu na iliendeshwa na Pakoro wa Parokia hiyo. Ibada ilianza saa 4 kamili asb, ilikuwa nzuri iliyosheheni ujumbe mzuri kutoka kwa Baba Paroko uliogusia maisha mazuri aliyoishi Jovin Shumbusho.   Hapa ni nyumbani kwake Makongo Juu ambapo ndugu, jamaa na marafiki walikusanyika baada ya misa na kupata chakula cha mchana. Palipendeza sana. Jovin amejenga nyumba ya mfano wa kuigwa!   Mke wa Jovin, Everloving (mwenye miwani ya macho kulia) akijumuika na ndugu mbali mbali kufurahia maisha aliyoishi Mpendwa Mumewe hapa dunia. Hii ilikuwa hapo nyumbani kwao Makongo Juu.   Familia ya Jovin Shumbusho ikipata picha ya ukumbusho nyumbani kwa Jovin Makongo Juu. Walioketi kutoka kushoto ni Baba Mzazi Mzee Shumbusho wa Kemondo Bay Bukoba, aliyeketi kulia ni Mtoto wake wa kwanza na kaka mkubwa, anaitwa Deo Shumbusho. Familia imejumuisha watoto wa kiume na dada yao wa pekee, wake za kaka zao na wajukuu wa Mzee Shumbusho. ...

Misa ya Kumbukumbu: Jovin Shumbusho 6th Nov 2013 - 6th Nov 2014

Image
Jovin Shumbusho 6th Nov 2013 - 6th Nov 2014 Ndugu zangu wapendwa, nawasalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo aliye hai. Tukiwa tunafikia mwaka tangu kuitwa na Bwana kwa mpendwa Mume wangu Jovin, tunawakaribisha katika misa takatifu itakayofanyika tarehe 8 Novemba 2014 saa nne asubuhi katika kanisa katoliki la Makongo Juu. Baada ya misa kutakuwa na chakula cha mchana (lunch) nyumbani Makongo. Karibuni sana tushiriki misa hii takatifu.  Roho ya milele umpe eeh Bwana na mwanga wa milele umwangazie. Apumzike kwa amani. Amen.  Eva Jovin Shumbusho, Mrs.

Mtazamo binafsi : Dangote Industries (Tanzania) Ltd.

Leo nimeamua kutoa mtazamo wangu kuhusu uwekezaji unavyofanyika hapa nchini kwetu. Kwasababu uwekezaji ni hoja pana (mtambuka) na yenye kuhitaji utaalamu wa sekta mbali mbali, mimi nitatoa mtazamo wangu binafsi kwa namna nilivyoona mimi, kwa kutumia uwekezaji wa Dangote Industries kule Mtwara. Kwanza kabisa bila kumung'unya maneno nakubali kabisa kwamba uwekezaji ule ni MUHIMU sana kwa uchumi wetu na watanzania kwa ujumla. Ni suala la msingi na linalohitaji kupongezwa. Pamoja na hayo, kuna changamoto zinazojitokeza kwenye kila shughuli. Kwa uwekezaji huu wa Dangote Industries, mimi nimeona changamoto zifuatazo. Mwekezaji hakutakiwa kupewa gesi ili yeye atumie kuzalishia moja kwa moja umeme wake, nishati ya mitambo na reli ya kuingiza malighafi kiwandani na kutolea cement baada ya uzalishaji. Hapa namaanisha kwamba hakutakiwa kupewa bomba lake peke yake ili yeye azalishe umeme, nishati ya uzalishaji na uendeshaji wa mitambo, kujenga reli yake mwenyewe kuleta mali ghafi kiwa...

Tyupkin: Manipulating ATM Machines with Malware

Image
Earlier this year, at the request of a financial institution, Kaspersky Lab's Global Research and Analysis Team performed a forensics investigation into a cyber-criminal attack targeting multiple ATMs in Eastern Europe. During the course of this investigation, we discovered a piece of malware that allowed attackers to empty the ATM cash cassettes via direct manipulation. At the time of the investigation, the malware was active on more than 50 ATMs at banking institutions in Eastern Europe.  Based on submissions to VirusTotal, we believe that the malware has spread to several other countries, including the U.S., India and China. Due to the nature of the devices where this malware is run, we do not have KSN data to determine the extent of the infections. However, based on statistics culled from VirusTotal, we have seen malware submissions from the following countries: SORCE: https://securelist.com/blog/research/66988/tyupkin-manipulating-atm-machines-with-malware/

Today's quote...

"Visions without execution are hallucinations..." One of the great visionaries of the digital age was William von Meister, a flamboyant entrepreneur who launched a dozen companies and watched all but one flame out. The one that succeeded became AOL. It survived because von Meister’s investors insisted he bring in two people to execute on his vision: a former special forces commando named Jim Kimsey and a young marketing whiz, Steve Case.

Wawindaji wapigwa risasi Selous, Ephraim Mkenda wa Miller Bar, Sinza Mori alikuwepo.

Watu wawili wamelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kupigwa risasi na askari wa wanyamapori wa Pori la Akiba la Selous. Watu hao waliokuwa na kibali cha kuwindia walikutwa na mkasa huo juzi jioni katika eneo la wazi la Utete, Rufiji baada ya askari wa Selous kufyatua risasi wakidhani ni majangili waliotoka katika pori hilo. Akizungumza na gazeti hili jana, mwindaji Mashaka Ndonde alisema alikuwa amekwenda na rafiki zake kuwinda nyumbu katika eneo hilo, lakini ghafla wakati wanaondoka na mnyama huyo saa 12:30 jioni walisikia sauti ikiwaamuru kusimama. “Wakati bado tunashangaa tukasikia risasi imelia iliwapiga watu wawili, mmoja ni rafiki yangu alikuwa amekuja kunisindikiza anaitwa Ephraim Mkenda na mwingine ni mwongozaji kutoka Kijiji cha Utete, Malick Sadick,” alisema Ndonde. Alisema kuwa askari hao waliokuwa na sare za kazi na bunduki, waliwashusha kwenye gari na kuwalazimisha wawafuate kinyumenyume. “Tukawaambia sisi ni wawindaji halali, wakatu...

A dentist in action...

APPRECIATION FOR THE LATE MR LUCAS ZERUBABEL MOSHA

Image
The Late Mr. Lucas Zerubabel Mosha (pictured) T h e f am il y of Lucas Zerubabel M osha   w i s h t o e x press our deepest and   s i ncere gr a t i t ude f or t he   l ove, support and   messages o f s y mpa t h y and   pra y ers f o r t he   l oss of our  be l oved, t he L A T E Lucas   Zerubabel   M osha   w h o   passed a w a y   peace f u l l y   on   M ond a y   1 2 th   M ay 2014   i n D ar es S a l aam and   w as l a i d t o re s t on F r i d a y 1 6 th   M ay 2014   a t h i s home   v i ll age i n M w i ka- M osh i . W e w i s h t o g i ve spec i al t hanks t o our  f am i l y and   f r i ends f o r organ i s i ng and   arrang i ng t he f uneral and   bur i al of our dear   husband and   f a t he r .   W e w i s h t o t hank   t he   med i cal t eam   a...

TANZIA...

Image
Private Brian Salvarory Rweyemamu enzi za uhai wake. Bwana Salvatory Rweyemamu wa Kinondoni Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Private Brian Salvarory Rweyemamu aliyefariki alfajiri ya kuamkia tarehe 15 Mei, 2014 katika hospitali ya Jeshi Lugalo alipokuwa akitibiwa. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Bwana Salvatory Rweyemamu Kinondoni jirani na Vijana (Mango Garden). Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki walioko Dar es Salaam, Kagera, Malawi, Afrika Kusini, Uingereza na Canada. ***************************************  Asante Michuzi Blog kwa Taarifa.  Poleni sana familia ya Rweyemamu. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe, Amen.