Kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Ndugu yetu Jovin Shumbusho (1963 - 2013) atangulie mbele ya haki.

 Ibada takatifu ilifanyika Parokia ya Makongo Juu na iliendeshwa na Pakoro wa Parokia hiyo. Ibada ilianza saa 4 kamili asb, ilikuwa nzuri iliyosheheni ujumbe mzuri kutoka kwa Baba Paroko uliogusia maisha mazuri aliyoishi Jovin Shumbusho.
 Hapa ni nyumbani kwake Makongo Juu ambapo ndugu, jamaa na marafiki walikusanyika baada ya misa na kupata chakula cha mchana. Palipendeza sana. Jovin amejenga nyumba ya mfano wa kuigwa!
 Mke wa Jovin, Everloving (mwenye miwani ya macho kulia) akijumuika na ndugu mbali mbali kufurahia maisha aliyoishi Mpendwa Mumewe hapa dunia. Hii ilikuwa hapo nyumbani kwao Makongo Juu.
 Familia ya Jovin Shumbusho ikipata picha ya ukumbusho nyumbani kwa Jovin Makongo Juu. Walioketi kutoka kushoto ni Baba Mzazi Mzee Shumbusho wa Kemondo Bay Bukoba, aliyeketi kulia ni Mtoto wake wa kwanza na kaka mkubwa, anaitwa Deo Shumbusho. Familia imejumuisha watoto wa kiume na dada yao wa pekee, wake za kaka zao na wajukuu wa Mzee Shumbusho.
 Eva Jovin Shumbusho, Mrs. Akitoa neno kwa waalikwa wote nyumbani kwake Makongo Juu.
 Wageni wakijumuika kusherehekea maisha ya Jovin Shumbusho.




 Everloving Jovin Shumbusho, Mrs.



Everloving Jovin Shumbusho, Mrs. 

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Taarifa za msiba...