TUNAPIGA VITA, TUNALAANI NA KUKATAA VITENDO VYOVYOTE VYA KIKATILI WANAVYOFANYIWA NDUGU ZETU WENYE ULEMAVU WA NGOZI, ALBINO.

TUNATOA RAI JAMII YOTE YA WATANZANIA, TUSHIRIKIANE KWA HALI NA MALI KUWALINDA, KUWAPENDA, KUWATUNZA NA KUWASAIDIA NDUGU ZETU WENYE ULEMAVU WA NGOZI, ALBINO.

KILA MTANZANIA AKIWA MLINZI WAO, HAKIKA VITA HII KATILI INAYOTUCHAFUA TUTASHINDA. TUWALINDE MIJINI, VIJIJINI, MASHULENI, MAOFISINI, MASHAMBANI, MAJUMBANI NA KILA MAHALI.

AHKSANTENI. UMOJA NI NGUVU. TUSHIRIKIANE, PAMOJA TUTASHINDA.

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Taarifa za msiba...