Posts

Habib na teknolojia...

Image
Mdau atakayeweza kutuambia hapa ni wapi atakula bingo...

Christine's Birthday...

Image
  Hilo ndio jikeki la birthday ya Christine... Hongera mdada! Christine mwenyewe akilikata jikeki la birthday yake... kama nawaona wadau walivyojaza mate midomoni!!!!     Mdau Alex Marwa akilishwa keki na Cristine, chini nae Alex (Mzee) akimlisha bibie... sijui na sina hakika kama wageni wote walipata fursa hii... tehe tehe tehe...   ma-shostito nao walikuwepo kumpa tafu bibie... kama ujuavyo... mjini shughuli ni watu! wageni waalikwa, mabibi na mabwana... wakijichana.

Shughuli bila ndafu????

Image
maeneo kama haya nikipata mwaliko ni aghalabu sana kukosa!

Ma-Dogo kwenye mnuso...

Image

R.I.P. Sister Joyce Robert Marwa (Nyangi)

Image

Leo ni Birthday ya Dada Hawa Salum...

Image
  Hili ndio ji-kike la Birthday yenyewe...   dada Hawa Salum akijiandaa kukata keki, hapa anasaidiwa na mpambe da' Aisha...   shughuli inaendelea...   da' Aisha Majura nae...   fasta fasta maana ni saa za kazi, siku hizi bongo tambarare... keki mpaka kwa ofisi. hapa Bi Zainabu akipata haki yake... shughuli ilikuwa na watu wengi... hawa ni baadhi tuu... hapa Mama Mpuno nae anajipatia haki yake. blogu hii kwa niaba yake na wasomaji wake wote tunamtakia da' Hawa Salum kila la kheri kwenye siku yake ya kuzaliwa. Mungu akubariki na kukujaalia, ndoto zako zitimie. KICHWANGUMU.

Je wayajua haya????

Image
wala ndizi mpo????