Mlipuko kambini Mbagala

Habari za hivi punde kutoka kwa Mh. Emmanuel Nchimbi (Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa) zinasema kwamba, milipuko iliyosikika ni kutoka mbagala kwenye kambi ya jeshi. Taarifa kamili zitatolewa baadae ila kwa sasa milipuko imesha-dhibitiwa na Mkuu wa Majeshi yupo eneo la tukio. Raia wote waliojikusanya makundi makundi watawanyike pamoja na wale wote walio juu ya maghorofa katika maeneo hayo washuke chini.

Tutazidi kuwahabarisha kila tupatapo taarifa.

Kichwangumu.

Comments

Popular posts from this blog

Kenneth Brumley wa texas "marekani"

Killer House / Office Plant.

The teenage girl who is allergic to WATER