BREAKING NEWS! AJALI ASUBUHI HII... BARABARA YA OLD BAGAMOYO, JIRANI NA KAMBI YA JESHI YA KUNDUCHI

 Gari inayosemekana ilisababisha ajali hiyo...
 Pichani juu na chini ni honda CRV ikiwa mtaroni, inasemekana ndani kulikuwa na baba na wanae wawili akiwapeleka shule. Wote walitoka hai na majeraha madogo madogo.



Break-down mbili zikijaribu kuvuta honda crv kutoka mtaroni.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...