Posts

Showing posts from October, 2012

Utalii wa ndani katika Hifadhi ya Taifa ya Saadani.

Image
 KICHWANGUMU Juu na Chini katika pilika za utalii...   Robert Kishimba katika utalii wa ndani, Saadani.   Nikiwa na Nobert Lyimo...   Nilivutiwa sana na manthari ya huu mto wami...  Kishimba katika pozi...   Mto Wami, juu na chini... Mbuga!

Breakfast ndani ya "A" town, in Africafe Arusha, double road...

Image
  Antony Munguti akipata news while waiting for his breakfast... a customized one!   Novat Adam (shoto) na Robert Kishimba (kulia) wakipa "breakfast" ya ukweli...   I liked the place, wana variety of choices that you can select from... mention it, juices, tea and cofee with different flavors, snacks, sausages, beacons, etc. etc.   Ukiingia mgahawa wowote bongo na kukuta "tomato ketchup" za dizaini hii, ujue umeingia pa ukweli...   Some of the customized items above and below...   Brown bread, beacons, sausages fulani za ukweli... wanatupia na viazi fulani vya kukudatisha!   Wateja wengine ndani ya mgahawa, maurembo kwa juu...   Kaunta kwa mbaali... na frem ya ma-snacks...   Ma-urembo ya mgahawani na Kishimbaz kwa pembeni... Africafe Arusha kwa nje...

Fisi kagongwa na gari Ingikaret...

Image
  Kutoka Namanga njiani kurudi Arusha tumekuta fisi akiwa amegongwa maeneo ya Ingikaret. Fisi huyo aina ya 'stripped hyena' huwa si maarufu sana kama wale waliozoeleka wa 'spotted hyena'.

Ukungu wa Namanga siku ya Jumapili 14 Oct 2012

Image

Misosi ya A Town...

Image
  Hiyo ni samaki sato ya foil... kwa ugali chini.   Wana litu cha ugali nyama ya spice...   Hii ndio funga kazi, kuku ya kienyeji na mboga ya mnafu kwa ugali...

Mrembo wetu wa wiki...

Image
Na Ikunda Faustine, TZ. Askari Mwanamke ambaye jina lake halikupatikana mara moja, akiwa tayari kwa kazi pembeni ya Land Rover Defender...

KILIMA TATA CHA OLDONYO SAMBU ARUSHA....

Image