Misosi ya A Town...

 Hiyo ni samaki sato ya foil... kwa ugali chini.

 Wana litu cha ugali nyama ya spice...
 Hii ndio funga kazi, kuku ya kienyeji na mboga ya mnafu kwa ugali...

Comments