Hali ngumu...


Jamaa alipita sehemu isiyoruhusiwa katika kambi ya jeshi na akapewa adhabu ya kuhamisha tofali 1000!
Jamaa akajitahidi akabeba tofal 900 na akawa hoi!Na ghafla akakumbuka kuwa mkuu wa kambi ni rafik yake wamesoma wote,akampigia simu.

Jamaa,"mkuu,vijana wako wamenipa adhabu ya kuhamisha matofali 1000!"

Mkuu,"hao wajinga kweli hawajui tunavyofahamiana!Wasikusumbue,mi ndo mkuu wao.Zirudishe palepale zilipokuwa mwanzo halafu uje ofisini tuonane."

Comments

Popular posts from this blog

Police officers to have new-look uniforms

Kenneth Brumley wa texas "marekani"

TRA acts on fuel tax evasion