Posts

Najuuuuuta kukufahamu!

Image
Muigizaji maarufu, Joti akiwa kazini...

Halle Berry

Image
Bibie Halle Berry hivi karibuni

Mlipuko kambini Mbagala

Habari za hivi punde kutoka kwa Mh. Emmanuel Nchimbi (Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa) zinasema kwamba, milipuko iliyosikika ni kutoka mbagala kwenye kambi ya jeshi. Taarifa kamili zitatolewa baadae ila kwa sasa milipuko imesha-dhibitiwa na Mkuu wa Majeshi yupo eneo la tukio. Raia wote waliojikusanya makundi makundi watawanyike pamoja na wale wote walio juu ya maghorofa katika maeneo hayo washuke chini. Tutazidi kuwahabarisha kila tupatapo taarifa. Kichwangumu.

BREAKING NEWS

HABARI ZILIZONIFIKIA MUDA HUU ZINASEMA KUNA TANKI LA MAFUTA AU HIFADHI YA SILAHA IMELIPUKA MAENEO YA KURASINI MPAKA SABA SABA... TUNAZIFANYIA KAZI HABARI HIZI NA KUWAHABARISHA UKWELI. KICHWANGUMU.

Miradi ya wizara ya ardhi inavyochochea umaskini Tanzania.

Na Chrizant Kibogoyo KUTOKANA na wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji na mitaa kushindwa kutumia sheria nzuri zilzizopo kulinda maslahi ya wananchi katika ardhi, Watanzania wanatakiwa kufuata nyayo za hayati Mwalimu Nyerere aliyetangaza hadharani kumuunga mkono na kisha kumpigia kura mgombe wa NCCR Ndg Paul Ndobo kwa ajili ya Ubunge wa Jimbo la Musoma Vijijini mwaka 1995 na kumuacha mgombea wa CCM aliyekuwa na tuhuma za kufilisi ushirika. Ikiwa hayati Mwalimu Nyerere muasisi wa TANU na baadaye CCM aliweza kutambua umuhimu wa kuweka maslahi ya nchi mbele kabla ya maslahi ya chama chake cha CCM kwa kuchagua kiongozi bora na sio bora kiongozi kwa kuwa katoka CCM. Mwaka 2009 na 2010 Watanzania wanatakiwa kuamka na kutumia vyema haki zetu za kikatiba kuchagua timu ya viongozi ambao watakwenda kuweka maslahi ya taifa mbele na sio maslahi ya vyama na binafsi Bungeni. Sheria ya Ardhi namba 4 ya 1999 imeanda utaratibu muafaka na shirikishi kweli kweli wa kuingiza eneo katika MPANGO WA URASI...

Protect your car...

Image
Njia rahisi na bora ya kulinda gari lako ki-utamaduni. Hakuna atakaye jaribu kuiba tena...

Vyakula tunavyokula vinachangia sana chemistry ya miili yetu kuhusiana na suala la hamu ya mapenzi (libido)

PILI PILI Kama tunavyojua wote mara nyingi chakula ambacho kimeungwa pilipili hufanya hata mapigo ya moyo kuwa tofauti na wakati mwingine hata jasho kutoka au kamasi kutoka. Kwenye pilipili kuna kitu kinaitwa capsaicin ambacho hufanya pilipili iwe na hali ya ukali ambao huwezesha ubongo kutoa homoni ya endorphins ambayo katika hali ya juu huleta mgusu wa hisia za raha. Pia pilipili husisimua mfumo wa ufahamu (nerves) wa ubongo na katika kufanya hivyo huwezesha kumshwa haraka kimapenzi ( kunyegeka ) na pia ili ukiguswa au kubusiwa au kunyonywa au kupapaswa uweze kupata hisia kila sehemu MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI. Mlo wenye matunda na mboga za majani una matokeo makubwa sana katika hamu ya tendo la ndoa kwa njia nyingi. Kwanza matunda na mboga za majani hupunguza kiwango cha mafuta na unene ( cholesterol ), kuongezeka kwa mafuta mwilini huzuia mzunguko wa damu kwa kubana mishipa ya damu. Pia kula matunda na mboga za majani huhakikisha balance ya uzito kwani unene ( ob...