Ndege na fikra zenye hisia...



Amerudi na chakula, anamlisha mkewe kwa upendo wa dhati na kuuguza.



Amerudi mara ya pili na chakula anakuta mwenzake amekufa, haamini, anamtingisha aamke!



Analia kwa uchungu baada ya kugundua mwenzake amekufa kweli.



Kasimama pembeni akiendelea kulia...



Anagundua hata akilia vipi, mkewe hawezi kurudi kwenye uhai. Anaendelea kuomboleza!

Comments

Popular posts from this blog

Kenneth Brumley wa texas "marekani"

Killer House / Office Plant.

The teenage girl who is allergic to WATER