ndoto za wanyama...


Hawa binadamu wanavyonionea... katanitambua haka leo!


Eti wanaita 'zebra crossing' kwanini wasitumie majina yao na picha zao kama hivi!


'daddy inapendezaaaa' katoto kanamwambia dingi yake!


siku zote nabahatisha, leo nimepata kitabu! watanitambua...

Comments

Popular posts from this blog

Police officers to have new-look uniforms

Kenneth Brumley wa texas "marekani"

TRA acts on fuel tax evasion