Mambo ya wakati...



Waswahili husema 'mambo huenda yakibadilika', na usemi mwingine ni 'mambo mazuri hayataki haraka' na mingine mingi tuu. semi hizi zimethihirika hivi karibuni ndani ya 'white house' anapoishi raisi wa marekani yote. kwa mara ya kwanza katika historia wamealikwa wanafamilia ya Bob Marley, yaani Rita Marley na mwane Ziggy. (Pichani juu), haya ni mabadiliko mazuri sana... KICHWANGUMU.

Comments

Popular posts from this blog

Kenneth Brumley wa texas "marekani"

Killer House / Office Plant.

The teenage girl who is allergic to WATER