HARDCORE... The Martyr!

Huyu jamaa ninampenda sana... Nawasikitikia sana wananchi wa Libya kwa uzembe wa kufikiri na kukosa uzalendo thabiti. Tatizo la Libya kutokana na mawazo binafsi ya mwanamapinduzi mwingine Mh. Yoweri Kaguta Museveni ambayo mimi binafsi nimeyakubali ni "Ukosefu wa uchaguzi rasmi (sio huru) wa viongozi wa kiserikali" na hili lilipaswa kushughulikiwa kwa kufuata taratibu na kuweka "Rais" rasmi wa libya na yeye akabakia kuwa "Revolutionary Leader" of the world.

Keep it up Commander, no surrender till the last drop! better die a martyr than surrendering and become a hypocrite. KICHWANGUMU.

Comments

Popular posts from this blog

Police officers to have new-look uniforms

Kenneth Brumley wa texas "marekani"

TRA acts on fuel tax evasion