Incridible India...


 Hii ndio hali ya kawaida ya usafiri kunako Mumbai...
Bajaj imeshona mtu mpaka nyuma kabisa... unaona mdau alivyojikunja nyuma hapo! Thats India...
 Haki za wanyama wanajali sana...
 Kwa India, Honi ni muhimu sana... wenyewe wanasema "Horn is highly encouraged!" piga sana honi barabarani. Ndo maana hata wakiwa huku wanapiga sana kelele...
 Ndo hivyo tena... usingizi! kuna baadhi ya mitaa huwa inafungwa usiku watu walale... huyu inaelekea yupo nje ya duka akiwa na mlinzi mwenzake!

Comments

Popular posts from this blog

Kenneth Brumley wa texas "marekani"

Killer House / Office Plant.

The teenage girl who is allergic to WATER