Karume Day Leo

February 19, 1967: mwalimu nyerere akimtuza medali mwenyekiti wa kwanza wa baraza la mapinduzi na rais wa zanzibar mzee abeid amani karume kwa utumishi uliotukuka kwa wananchi wa visiwani, huku mama maria nyerere na mama fatuma karume wakishuhudia. kwa heshima ya mzee karume aliyeuwawa kwa kupigwa risasi siku kama hii mwaka 1972 katika ofisi za chama cha Afro Shirazi, Kisiwandui, leo ni siku ya mapumziko Tanzania nzima.

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Taarifa za msiba...