Msiba Sinza Mori

Habari zilizoingia mida hii hii ni kwamba mzee wetu isaac kwagilwa amefariki dunia. kwa wanao mfahamu ni baba wa judy na lion. kaka kwa edward, david na wengineo.

nimelazimika kukatisha shughuli zote, naelekea huko nitawahabarisha kadri taarifa zitakapotoka.

Comments

Popular posts from this blog

Kenneth Brumley wa texas "marekani"

Killer House / Office Plant.

The teenage girl who is allergic to WATER