Skip to main content
Wadauzzzz...
tujikumbushe kidogo... kutoka kushoto aliyetupa mgongo (anayeonekana kwa ubavu) ni Nassoro Siriwa, akifuatiwa na Francis Kassidi, Solly Brown, na Freddy Mkinga. Hapa ilikuwa kwenye harusi ya mdau mwingine Joachim Mella pale Makuti hall Msasani Beach Club. Wadau mpo... ni kipindi kidogo.
Comments
Herman