Kali ya J5...

Huku akionyesha katika ramani ya dunia iliyobandikwa ukutani, mtoto wa miaka mitano alimuuliza baba yake;


MTOTO: Baba, eti Brazil iko wapi?


BABA: Muulize mamako kwa maana yeye ndo mwenye tabia ya kufichaficha vitu humu ndani!

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...