Posts

Showing posts from January, 2016

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Image
Nembo ya Shirika la Kimisionari la Bikira Maria Mama wa Yatima. Niliikuta nembo hii nilipoingia nyumba ya Masista wa Shirika hili kwenda kumwona Sista Restuta. Hapa nilipelekwa na Pius baada ya kupata ruhusa ya Mlinzi. Sista Restuta (Mama wa watoto hao) akiwaandaa wanae kuimba nyimbo kituoni hapo.   Chakula kilichoandaliwa na familia yangu kwa ajili ya watoto hao   Sehemu ya kukaa wageni na watoto wa kituo cha Furaha Mbweni Kijijini.   Watoto wakichukua chakula. Sister Restuta na utawala wa kituo umeweka utaratibu mzuri sana wakati wa kula. Wanaanza watoto wa Chekechea (Nursery School), wakifuatia wa Shule ya Msingi kuanzia darasa la Kwanza kuendelea mpaka Kidato cha Sita. Kituo hiki kunachukua watoto wa kuanzia miaka mitatu ambao wanasoma Chekechea  Watoto wakiendelea kuchukua chakula   Huyu mtoto wa kushoto mwenye fulana nyeupe anaitwa Pius. Alinipokea siku moja kabla nilipokwenda kupeleka vyakula vyao na kufanya maandalizi ya siku hii rasmi. A

Miracles still do happen... Believe in your faith...

"An eight-year-old child heard her parents talking about her little brother. All she knew was that he was very sick and they had no money left. They were moving to a smaller house because they could not afford to stay in the present house after paying the doctor's bills. Only a very costly surgery could save him now and there was no one to loan them the money.  When she heard her daddy say to her tearful mother with whispered desperation, 'Only a miracle can save him now', the little girl went to her bedroom and pulled her piggy bank from its hiding place in the closet. She poured all the change out on the floor and counted it carefully.  Clutching the precious piggy bank tightly, she slipped out the back door and made her way six blocks to the local drugstore. She took a quarter from her bank and placed it on the glass counter.  "And what do you want?" asked the pharmacist.  "It's for my little brother," the girl answered back. "

Mwongozo wa mavazi kwa Watumishi wa Umma.

Image

Andy Reid Afghanistan true story...

Image
IT would have broken most people. But war hero Andy Reid (pictured with an infant on his left hand), who lost both his legs and his right arm in a bomb blast in Afghanistan, is not “most people”.  While on patrol with 3rd Battalion The Yorkshire Regiment, Corporal Reid stood on a pressure plate improvised explosive device (IED). As a result of the explosion, he lost his right leg below the knee, left leg above the knee, and right arm. But, after being flown back to the UK, Andy astounded friends and family with his inspirational recovery - spending just two weeks in hospital.  Andy went on to marry Claire & they became proud parents late last year.

George Junius Stinny Jr. 14yr old CHILD EXECUTED by racist american GOVERNMENT!

Image
JE WAJUA?  George Junius Stinney, Jr. Ndiye kijana mdogo Mwenye umri wa miaka 14, ndiye aliyehukumiwa kifo kwa kiti cha umeme mwaka 1944 baada ya wasichana wawili wa kizungu , miaka 11- Betty June Binnicker na Miaka 8- Mery Emma Thames kupotea na miili yao kuokotwa kesho yake ikiwa tayari wamekufa na mtu wa mwisho kuonekana akiongea na hawa watoto alikuwa ni huyu kijana mwenye asili ya afrika - George(14). Kesi hii ilikuwa batili maana mashahidi wa kesi hii walikuwa polisi waliosema George amekiri shitaka(confess) ila hapakuwepo na maandishi(records)yoyote ya kuonyesha kukiri kwake.  Polisi wawili na madaktari walioenda eneo la tukio na madaktari kuifanyia miili postmortem. Polisi na madaktari hawa walikuwa wazungu. Kesi hii ilichukua siku moja , jopo la majaji lilikuwa ni wazungu pekee kwasababu kipindi hicho BLACKS hawakuruhusiwa kupiga kura(right to vote) , Goerge alibaki pekee yake bila shahidi kwasababu alikuwa mweusi(black). Kesi ilichukuwa masaa mawili na kumhuku