MANJONJO YA WAHAYA...

Baada ya kumaliza degree yake ya sheria mlimani Bwana Rwegoshora aliamua kurudi nyumbani Bukoba mjini na kufungua ofisi yake kwa ajili ya
kuhudumia clients(wateja) .

Siku ya kwanza wakati ndio amefungua ofisi yake,alimuona kijana
mtanashati anakuja kuelekea ofisini kwake.Hapo ndipo alipoanza kunyanyua mkono wa simu ya TTCL,wakati anajizungusha kwenye viti virefu.

Wakati kijana alipokaribia Rwegoshora alionesha kumkaribisha wakati anaongea na simu,alisikika akiongea ''No.no, no, Absolutely no, You tell those clowns in New York that I won't settle this case for less than one million. (pause)

Yes, yes . The Appeals Court has agreed to hear that case next week, I'll be handling the primary argument and the other members of my team will provide support. Okay. Pliz dont forget to tell the State Prosecutor that I'll meet with him next week to discuss the details." Yule kijana ametulia tu anamuangalia bwana Rwegoshora anajinyonganyonga kwamuda zaidi dakika 5.

Baada ya kumaliza kuongea na simu,bwana Rwegoshora alielekea kwa huyu jamaa.
''Samahani sana, kwa kukupotezea muda wako, unajua tena kazi zetu hizi unaumiza kichwa sana,kama unavyoona tena mwenyewe hapa, yaani niko busy sana, ninapokea simu mpaka nimechoka mwenyewe. enh by the way, what can i do for you?Jamaa alijibu.
'' Mimi ni mfanyakazi wa TTCL,nimekuja kuunganisha line yako ya simu kwani haipo hewani''

hahahahahahahah, tehe tehe tehe tehe thanx to JamiiForum.

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.