The Gifted Orphaned girl (Maud Chifamba) starts university in Zimbabwe at age 14

Maud Chifamba, middle, started her studies in accounting September 10 at the
 University of Zimbabwe. Aged 14, she is the country's youngest ever 
university student.

Mtoto huyu ni kichwa. Kasoma Darasa La Tatu akarushwa hadi Darasa la Sita, Kisha akafaulu vizuri sana kuingia Kidato cha Kwanza, Kaka zake ni Manamba wakashindwa kumlipia ada za shule. Kutokana na bidii zake binafsi / akili za kuzaliwa, na msaada wa ada za mitihani na vitabu kutoka kwa kaka zake aliweza kusoma form1-4 kwa miaka miwili tu. Alifaulu saaana na kushindwa kulipa ada za kidato cha 5-6 akaamua kujisomea nyumbani na kupata matokeo mazuri saaana na sasa kapata scholarshipu kutoka TRA ya Zimbabwe kusoma chuo kikuu. This is amazing story...Our God is of great wonders!! kwa story zaidi, bofya hapa.

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.