Harusi ya Wommy na Stella Msuku. Escape 2, Jumamosi 21st Sept 2013

Maharusi wakijiandaa kukata keki juu na chini

 Kabla ya keki zilifunguliwa champagne za kutosha...
 Wakijiandaa kugida...
 Wageni waalikwa mbali mbali...
 Baada ya harusi siku ya jumapili 22nd Sept 2013, kamati kuu ya maandalizi ya harusi ilikutana kutafakari mafanikio na kuagana rasmi. Pichani juu na chini...





Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...