TANZIA...

Private Brian Salvarory Rweyemamu enzi za uhai wake.

Bwana Salvatory Rweyemamu wa Kinondoni Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Private Brian Salvarory Rweyemamu aliyefariki alfajiri ya kuamkia tarehe 15 Mei, 2014 katika hospitali ya Jeshi Lugalo alipokuwa akitibiwa.

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Bwana Salvatory Rweyemamu Kinondoni jirani na Vijana (Mango Garden).

Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki walioko Dar es Salaam, Kagera, Malawi, Afrika Kusini, Uingereza na Canada.

*************************************** 
Asante Michuzi Blog kwa Taarifa. Poleni sana familia ya Rweyemamu. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe, Amen.

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.