MSIBA BOKO: HERBERT MASANJA AFARIKI DUNIA

Ndugu Norbert Masanja anasikitika kutangaza kifo cha kaka yake mpendwa, Ndugu Herbert Andrew Magatala Masanja (pichani juu) kilichotokea jana alfajiri katika hospitali kuu ya jeshi Lugalo. 

Msiba upo Boko Mbweni na mazishi yatafanyika katika makaburi ya Mbweni baada ya misa takatifu itakayofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Boko kesho Jumamosi tarehe 28 Novemba 2015 kuanzia saa nane mchana. 

kwa maelekezo zaidi piga 0767 / 0788 - 406661.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...