Mjue Sarah Saartijie Baartiman Born (approx.) 1770s Died 29 December 1815 (aged 39–40)

Born (approx.) 1770s Near Gamtoos River, Eastern Cape, Dutch Cape Colony Died 29 December 1815 (aged 39–40) Paris, France.

Sarah Saartijie Baartiman ni mwanamke aliyezaliwa mwaka 1789 nchini afrika kusini.Kutokana na kujaaliwa umbo,kwa kuumbwa kuwa na umbo zuri (physical shape - mafoloji) wazungu waliamuwa kumtumia kama chombo cha utalii na starehee.

Mwanamke huyu alijaliwa mwili makubwa,sura nzuri na kila sifa za mwanamke wa kibantu aliyejaliwa.Kutokana na hila za wazungu katika kipindi hicho cha ubaguzi wa kutisha,waliamuwa kumchukuwa Sarah Saartijie Baartiman na kumpeka nchini ufaransa,ambapo ndiko hasa mateso kwa mwanamke huyu asie na hatia yalizidi mno.Alifanyiwa unyama wa kutisha wa kila aina kutokana na kosa la kupewa umbo zuri na Mungu.

Mnamao mwaka 1815,mwanamke huyu akiwa bado binti mchanga aliaga dunia,kifo chake kilisabishwa na mateso makali ya wazungu,waliokuwa wanamuingilia kimwili kwa idadi kubwa isio na mfano,kumsimamisha mrembo huyu kwa muda mrefu ili watu waweze kuona umbo lake hasa makalio yake kama chanzo cha wazungu kujipatia kipato.

Haikuishia hapo,Saartijie alipokwisha fariki mwili wake ulikaushwa na kuhifadhiwa ili kuja kuwa kivutio cha utalii kwa vizazi vijavyo.

Baada ya kufariki raia wa Afrika Kusini hasa weusi walikuwa wanaishinikiza Serikali ya Ufaransa kuwapa mwili wa mwanamke huyo ili wamzike kiheshima,na mnapo mwaka 2002 mwili wa Sarah ulizikwa tena mjini Pretoria nchini Afrika Kusini,ili ilitokana na Juhudi Kubwa zilizofaywa na Rais Nelson Mandela na raia wa Afrika Kusini...

kwa habari zake zaidi BOFYA HAPA. na PICHA HAPA

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.