Posts
Showing posts from July, 2012
Ajali ya piki piki kwa piki piki jana asubihi maeneo ya Mbezi Tangi Bovu
- Get link
- X
- Other Apps
By
bongotambarare
-
Weka maneno mwenyewe...
- Get link
- X
- Other Apps
By
bongotambarare
-
Hii picha imenisikitisha, imenihuzunisha, imenisononesha na kuninyima raha kabisa. hebu tutafakari kidogo, mtoto huyu amekosa nini mpaka alale chini mahala pachafu kiasi hiki. Ni jamii gani inaruhusu hali hii? Wazazi wake wako wapi? Serikali iko wapi? Jamii iko wapi? Mashirika ya kijamii (NGO's) yako wapi? Tunajenga taifa la aina gani? Tunawaachia urithi upi vizazi vijavyo? Ni nini hii? Sielewi... Hivi, atakuwa amepata chakula bora kweli? Kesho yake ikoje? Matumaini anayapata vipi? Tafakari na uchukue hatua!
Today's short story...
- Get link
- X
- Other Apps
By
bongotambarare
-
Relationship & Trust Little girl and her father were crossing a bridge. The father was kind of scared so he asked his little daughter, "Sweetheart, please hold my hand so that you don't fall into the river." The little girl said, "No, Dad. You hold my hand." "What's the difference? Asked the puzzled father. "There's a big difference," replied the little girl. "If I hold your hand and something happens to me, chances are that I may let your hand go. But if you hold my hand, I know for sure that no matter what happens, you will never let my hand go." Moral of the story :- In any relationship, the essence of trust is not in its bind, but in its bond. So hold the hand of the person whom you love rather than expecting them to hold yours...
... London Olympic Games 2012 - Football time table
- Get link
- X
- Other Apps
By
bongotambarare
-
Facts about life...
- Get link
- X
- Other Apps
By
bongotambarare
-
1. Forgive your enemy but remember the bastard's name... 2. Help someone when they are in trouble and they will remember you when they're in trouble again. 3. Many people are alive only because it’s illegal to shoot them (human rights thing). 4. Alcohol does not solve any problems, but again, neither does milk. 5. Money cannot buy happiness but its more comfortable to cry in a Mercedes than on a bicycle.
Plagiarism in action...
- Get link
- X
- Other Apps
By
bongotambarare
-
Tabia mbaya sana kuibia... ukizoea kuibia darasani hata maishani utaendelea kuibia kazi za wenzio bila hata kutoa shukrani! Unakuta mwandishi makini anayeheshimika anaiba kazi ya mtu na kuitangaza kama vile ni ya kwake. Tena bila hata kuelezea wasomaji wake kama hii nimeitoa mahala fulani... kuibia tuu! Ni tabia mbaya sana. KICHWANGUMU!
Today's joke...
- Get link
- X
- Other Apps
By
bongotambarare
-
Papa Benedict wa 16 alikwenda shopingi na kumchukua dereva wake ila alimwambia: "Naendesha mwenyewe leo." Hivyo, dereva alikaa upande wake wa kushoto na papa akaendesha mwenyewe gari, dereva akiwa ni abiria. Kufika mjini trafiki aliwasimamisha, kuangalia ndani ya gari akatimua mbio kumfuata mkuu wake. Mkuu wake naye alipofika na kuangalia ndani naye akala kona. Yule trafiki ikabidi amuulize mkuu wake: mbona unakimbia? Mkuu akajibu:Kama papa ameamua kumuendesha yule mtu, basi ni Yesu au ni Mungu mwenyewe.
Usajili wa magari kwa kutumia majina waanza TRA...
- Get link
- X
- Other Apps
By
inno.mosha@gmail.com
-
Kuanzia mwaka mpya wa fedha (2012-2013) Mamlaka ya Mapato Tanzania imeanza kusajili magari kwa kutumia majina ikiwa ni nyongeza ya kutumia namba kama ilivyokuwa imezoeleka na wengi. Pichani juu na chini ni gari la kwanza kupewa usajili huo wa kutumia jina. Usajili huu wa kutumia jina unaweza kufanyika kwenye ofisi yoyote ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inayohusika na usajili wa magari katika mikoa yote ya Tanzania Bara.
@ Rudy's Farm on Sunday 15th July 2012...
- Get link
- X
- Other Apps
By
inno.mosha@gmail.com
-
Careful on what you wish for...
- Get link
- X
- Other Apps
By
inno.mosha@gmail.com
-
Namna ya kumlinda mwanao - Sicilian Style!
- Get link
- X
- Other Apps
By
inno.mosha@gmail.com
-
Send Off Party ya Elizabeth Mwaipopo 5th July 2012
- Get link
- X
- Other Apps
By
inno.mosha@gmail.com
-
Keki, juu na chini tayari ikisubiri shughuli... Shampeni za kumwaga zikisubiri kushughulikiwa... Baadhi ya wawezeshaji wa shughuli hiyo "wana-kamati" wakiwa na baba wa Elizabeth (Mr. Ande Mwaipopo kushoto) katikati ni Jovin Shumbusho na kulia ni Mwenyekiti wa kamati Mr. Makoye Kwa wasiotumia vinywaji baridi walipa chai au kahawa... "Life is all about choices" Meza kuu, juu na chini zikimsubiri bibi harusi mtarajiwa... Bibi harusi mtarajiwa Elizabeth Mwaipopo akikata keki juu na chini... Wageni waalikwa Edgar (kushoto) na Deo Shumbusho... Baba wa bwana harusi mtarajiwa Mzee Paul Sozigwa (mwenye shati la draft) akiwa shughulini... Baba wa bibi harusi mtarajiwa Mr. Ande Mwaipopo na mkewe wakifuatilia shughuli... Mr. George Mnyitafu (kulia) na Mr. Richard Shumbusho (anayefuatia) wakifurahia jambo... Hata Deo Shilima alifunga safari kutoka Mwanza mpaka Dar kuhudhuria shughuli hii... chez
Fundi Kibwana na maiwife wake wakiwa vakesheni...
- Get link
- X
- Other Apps
By
inno.mosha@gmail.com
-
What a pose... kama muvi! Hiyo ni swimming pool na bar! imependeza sana... mbele huko wanajua sana ku-enjoy... niibe usemi wa Thomas Kibwana Hapo unaweza kuona baada ya "swiming pool" kuna "beach" kwa nyuma! People are having fun... enjoy people! The beach... Shemeji yetu katika pozi kwa juu na chini mumewe Fundi.
Frank Brown Birthday Party at Rudy's Farm on Friday 29th June 2012
- Get link
- X
- Other Apps
By
inno.mosha@gmail.com
-