Ramadhan Karim...

Leo ndugu zetu wa dini ya Kiislamu ulimwenguni kote wanaanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hii ni moja ya nguzo kuu za dini ya kiislamu. Napenda kuchukua nafasi hii, kuwatakia kila la kheri katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. 

Ramadhan Karim...   KICHWANGUMU.

Comments

Popular posts from this blog

Kenneth Brumley wa texas "marekani"

Killer House / Office Plant.

The teenage girl who is allergic to WATER