Fundi Kibwana na maiwife wake wakiwa vakesheni...

What a pose... kama muvi!
Hiyo ni swimming pool na bar! imependeza sana... mbele huko wanajua sana ku-enjoy... niibe usemi wa Thomas Kibwana
Hapo unaweza kuona baada ya "swiming pool" kuna "beach" kwa nyuma!
People are having fun... enjoy people!
The beach...
Shemeji yetu katika pozi kwa juu na chini mumewe Fundi.

Comments

Popular posts from this blog

Police officers to have new-look uniforms

Kenneth Brumley wa texas "marekani"

TRA acts on fuel tax evasion