Muvi la Idd el Fitr

Habari za leo wadau...

kwa leo ninapendekeza muvi la kuangalia kipindi hiki cha kusherehekea Idd el Fitr. muvi hilo ni "Daddy's Little Girls". itafute kwa udi na uvumba upate uhondo uliopo ndani yake...

Siku zote na popote... jamii ikiamua jambo, kulizuia ni vigumu. imesemwa mpaka kwenye vitabu vitakatifu kwamba "kauli ya wengi ni kauli ya Mungu". basi kwa hayo machache, wadau kazi kwenu.

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.