Picha ya kufungulia mwaka 2010...


Kutoka kushoto ni Martha Luther Gelege na Mh. Jaji Pelagia Khaday. Huyu Jaji ananikumbusha nilipokuwa bado dogo... enzi hizo akiwa hakimu. Mama Jaji Hongera sana, umeweka mfano bora (role model) kwa sisi tunaokujua tangu tukiwa wadogo. 

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...